Hii ndo situation ....

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
Napenda kuwasalimu kwa
Herufi kubwa wataalum wote
wa mambo ya nje na ya ndani ..

nway hii ndo situation yenyewe..
mtu na mke wake ni wapenzi wa muda
mrefu sana tangu shuleni .. wameoana
miaka tisa iliyopita na wana watoto wawili..

kaka ni doctor na mke ndio anaeangalia
na kutunza biashara zenu ( mna Insurance company)..

huyo mke ni mtu mzuri sana
familia ya kijana wanampenda sana
especially wifi yake. huyo wifi anarafiki yake wa karibu sana
wote wanne wamejuana tangu udogoni na shule waliyoenda ni moja..

siku ya siku ikafika huyo kijana akarudi kwao kusalimia..
huyo rafiki wa wifi alikuwa hapo nyumbani ... jinsi rafiki na
kaka walivyokuwa wanaongea ni kama kuna attraction fulani na
mvutio wa kimapenzi kutoka na body language yao ...dada ali notice ..

baadaye ndo dada akamuuliza rafiki nini kulikoni ??
rafiki hakuweza kuficha akasema yeye na kaka yake wanamahusiano
ya kimapenzi tangu na tangia mpaka sasa... na sasa hisia zao za kimapenzi zimekua
sana hata kuficha ficha wameacha ... na alipomuuliza kaka naye akasema ni kweli ..

sasa wewe kama wifi na uko karibu sana na watoto na wifi yako
anakupenda kupita kiasi , mnaongea na kusaidiana mengi ..
Je utamwambia ??? nani vipi kuhusu kaka yako??
na we kama mume utajisikiaje ukijua ni dada kavunja ndoa yako??
wifi alishawahi kusema anampenda sana kaka yako..
na kitu kimoja ambacho kitamtenganisha yeye na kaka
ni kama mmoja akisaliti ndoa yao na familia..
halafu hapo ukipiga mahesabu kaka na rafiki yako walianza
kabla ya ndoa, baada ya ndoa mpaka sasa kaka anafamilia..
 
If it was me, I would so tell . Mimi kama mwanamke if the situation was reversed ningependa kujua/kujulishwa. Besides since wasaliti wenyewe seem to be at a point of no return and they dont care, it is bound to come out sooner than later anyways so what is there to keep a secret about?

NOTE:
Ila before doing that, ningemjulisha bro and/or wazazi that I am going to do so.
 
AD,

Hapo hakuna tatizo kwa huyo wifi. Analotakiwa kufanya ni kuacha wafu wazike wafu wao! Hata siku moja mtu yeyote asithubutu kupeleka kimbelembele chake eti anampenda mtu kumweleza mambo kama hayo. Waache tu watajuana siku moja na watasolve wenyewe.

Wifi atulie tu na ajifanye hajui lolote.
 
There are things they don't need any justification, people being lunatic and the expression is far more unacceptable.
 
kama huyu mwingine ni rafiki yako means unammudu,wakalishe chini yeye na kaka yako waambie ukweli kama walikuwa na uhusiano before ndoa lkn hakuolewa rafikiyo akaolewa mtu mwingine it means she is not a wife material [used product tu],so unawashauri kwa kuwa wote watatu unawaheshim hivyo basi hao wawili wakosa adabu waache mara moja upuuzi wao and if hawataki basi utafikisha jambo hilo sehem husika.
 
nilikuwa natizama kipindi fulani ATN cha women issues kama sijakosea, kilichokua kinasema hivi "je kuna umuhimu wowote unaposikia/kuona jambo ww kulichukua na kulifikisha kwa mhusika??" majibu mengi yalikuwa si lazima kusema jambo hasa unapoona linaweza kuleta madhara fulani.

hembu chukua mfano ukaenda kumweleza wifi yako, then akaanguka akapoteza maisha au kupooza je ww utapata faida gani??

binafsi sioni kama kunaumuhimu wa kumweleza, ni bora aone mwenyewe!!!

hayo ni maoni yangu tu mimi!!!
 
AD,

Hapo hakuna tatizo kwa huyo wifi. Analotakiwa kufanya ni kuacha wafu wazike wafu wao! Hata siku moja mtu yeyote asithubutu kupeleka kimbelembele chake eti anampenda mtu kumweleza mambo kama hayo. Waache tu watajuana siku moja na watasolve wenyewe.

Wifi atulie tu na ajifanye hajui lolote.

nilikuwa natizama kipindi fulani ATN cha women issues kama sijakosea, kilichokua kinasema hivi "je kuna umuhimu wowote unaposikia/kuona jambo ww kulichukua na kulifikisha kwa mhusika??" majibu mengi yalikuwa si lazima kusema jambo hasa unapoona linaweza kuleta madhara fulani.

hembu chukua mfano ukaenda kumweleza wifi yako, then akaanguka akapoteza maisha au kupooza je ww utapata faida gani??

binafsi sioni kama kunaumuhimu wa kumweleza, ni bora aone mwenyewe!!!

hayo ni maoni yangu tu mimi!!!

Mmemaliza kabisa, kuna vitu vingine inabidi kuviacha kama vilivyo
 
kama huyu mwingine ni rafiki yako means unammudu,wakalishe chini yeye na kaka yako waambie ukweli kama walikuwa na uhusiano before ndoa lkn hakuolewa rafikiyo akaolewa mtu mwingine it means she is not a wife material [used product tu],so unawashauri kwa kuwa wote watatu unawaheshim hivyo basi hao wawili wakosa adabu waache mara moja upuuzi wao and if hawataki basi utafikisha jambo hilo sehem husika.

Hi P,

Sikujua kuwa hata nyie mnatumie lugha kama hizo!! Hata hivyo hili suala ni gumu sana na wifi anatakiwa kuwa makini sana lolote atakalolisema au kulifanya!!

Hujambo lakini?? Mzee DC alikumiss sana!!
 
nilikuwa natizama kipindi fulani ATN cha women issues kama sijakosea, kilichokua kinasema hivi "je kuna umuhimu wowote unaposikia/kuona jambo ww kulichukua na kulifikisha kwa mhusika??" majibu mengi yalikuwa si lazima kusema jambo hasa unapoona linaweza kuleta madhara fulani.

hembu chukua mfano ukaenda kumweleza wifi yako, then akaanguka akapoteza maisha au kupooza je ww utapata faida gani??

binafsi sioni kama kunaumuhimu wa kumweleza, ni bora aone mwenyewe!!!

hayo ni maoni yangu tu mimi!!!

Mmemaliza kabisa, kuna vitu vingine inabidi kuviacha kama vilivyo

Hamjakosea wadogo zangu. Katika mambo kama haya ndio utaona kipimo cha kuropoka au busara. Toka enzi za mababu, watu hawasemagi haya madude. Hata ikiwa ni baba yako au mama yako.. Unajitahidi kufa nalo rohoni.

Utajisikiaje ukisema halafu mmoja wa wahusika akachinjwa? Nadhani lazima hapo ufike mbele ya pilato.. Kama mtu hawezi kujizuia kufungua domo lake basi amwombe Mungu ampatie ububu wa walau miaka 2 ili akirudia hali yake ya kawaida wahusika wawe wameshamalizana. Ama kwa kuchokana au kuacha kabisa!
 
Bora asiseme. Mambo mengine kuyaingilia yatatokea puani.
Kama vipi huyo wifi amkanye shosti wake na kaka yake.
 
Kama walivyosema Maty,Susy na DC hapo ju, hukuna haja ya kumwambia wifi yako. Hilo swala ni zito na kunauwezukano wa yeye kuchukua hatua hatua mbaya baada ya kujua ukweli wote.
Utajkisikiaje kama wifiyo akimtaliki kaka yako kwa sababu ya hiyo taarifa utakayompa?
Bora muache aje ajue mwenyewe kivingine lakini si kwa kupitia kwako
 
mi cjambo my dear missed u big tyme,yap lugha hizi tunazo ,najua kusema kwa muhusilka direct si vzr kabisa na madhara yake ni makubwa sana lkn kuna mambo madogo madogo unaweza kufanya hapo,kama kuongea na kakayako au ur fake shostito,coz rafiki kama huyu kesho hashindwi kutembea na mtu wako they say do the do before the do does you! ningekuwa ni yy ningejiona mjinga na mpumbavu sana angenipenda angeniweka ndani but anajua nilivyo mwepesi na sina gharama thats y any time ananipata na kufanya atakacho,if u get free milk y buy a cow?
Hi P,

Sikujua kuwa hata nyie mnatumie lugha kama hizo!! Hata hivyo hili suala ni gumu sana na wifi anatakiwa kuwa makini sana lolote atakalolisema au kulifanya!!

Hujambo lakini?? Mzee DC alikumiss sana!!
 
mi cjambo my dear missed u big tyme,yap lugha hizi tunazo ,najua kusema kwa muhusilka direct si vzr kabisa na madhara yake ni makubwa sana lkn kuna mambo madogo madogo unaweza kufanya hapo,kama kuongea na kakayako au ur fake shostito,coz rafiki kama huyu kesho hashindwi kutembea na mtu wako they say do the do before the do does you! ningekuwa ni yy ningejiona mjinga na mpumbavu sana angenipenda angeniweka ndani but anajua nilivyo mwepesi na sina gharama thats y any time ananipata na kufanya atakacho,if u get free milk y buy a cow?
Dah!!!!!
 
Back
Top Bottom