Hii ndo laptop yangu, je yako ikoje???

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
580345_422997971098309_8677857_n.jpg

mia
 
Nyie wadau nyie jamani mna visa! Haya jioni njema bhana
 
Hii ya kwangu nimebandika Limau kwa nyuma! Wabongo kwa ubunifu FEKI tunatisha! Loh!
 
nilikuwa natania mkuu,au ulipoteza ile camera yako nyololo,maana tunakosa mauhondo nowdays lol

Mkuu kila kitu kina wakati wake. na mambo ya leo sio ya jana. subili mwakani kuanzia mwezi wa nne. mia
 
Back
Top Bottom