Hii ndo dunia ya maharamia

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
mitandao hii inamengi sana jaman......kwanza;habar wanajf

nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza kwa kujitambulisha yeye ni nani,yuko wap,anafanya kazi hedikota za redcross marekani,akataka pia kujua m nafanya nini,nilipojibu nikakwepa lile swal na chochote kinachonihisu nikimvutuia muda wa kumsoma vizuri.siku kama tatu zikapita,akanipa taarifa kwamba anahitaj picha yangu,huku yeye katuma yake,nikamchunia nikawa namjibu stor za kusogeza muda....siku hiyo akaniambia,umekuwa so kind kwangu naomba nikurushie dili la kaz,akidai redcross ya marekan inahitaji watu wa kwenda kufanya kazi HAITI,cz haiti ipo ktk matengenezo/kujengwa upya baada ya tetemeko.akanitumia web ya usa redkrosi na hiyo program.mi nikaichek nikaona ni kweli kbs ipo.akanambia niwasiliane na mtu akanipa adress ya yule mtu akidai yupo kwenye channel km HR.kwel,nikakontakti nae...yule Hr akanirushia kwa mtu mwingine akidai ndo muhusika na Africa....yule mtu akaanza kunipa details kwamba,wanahitajika watu 8-10,then visa,accomodation kwa jil ya trainning wanahusika nayo wao kimalipo,ndege na pochopocho nyingine ila sie tunahitajika kutoa sh152 za kwa jl ya pasport za hait.

kwa kuwa kizuri kula na mwenzio kuna ambao niliwashirikisha Mchezo ulianza hapo sasa.......form ya kwanza ikatumwa,ile form ndo ilinishtua ipo kiholela zaid kwa mtu wa kawaida ambae hana utaalam na document tena hasa za international hawez jua.ile form nikajaza mimi km mimi nikatuma.tukatumiana viform ikafika hatua nikaanza kudaiwa hela ileee coz nilimwambia tupo 8 akataka 1.2 na zaid million.baada ya kuona kudaiwa kunazid ikabidi niamke na kuanza kuifatilia hiyo,nikapga simu ubaloz wa marekan wakanambia hawana taarifa ya hiyo kitu,kufuatilia adress walizonipa zikawa tofaut kbs na usa redcross hedikota.....ikabidi nimwonyeshe mimi ni mtanzania tena wa uswahilin....akipiga kuulizia hela namwambia mbona nimetuma,na mimi ikabidi niwe namkazania anipe vipaspot kwakuwa nishatoa hela......UNAJUA NINI KILITOKEA.....aliejidai HR akanambia tumefunga file lenu tunawachukua wa sudan coz nyie wasumbufu mnajifanya mnajua sana mashirika ya watu....nikiendelea kuda nikashangaa ma email yananiletea report tu FAILURE.

NACHOTAKA KUWAAMBIA NI KWAMBA,NAJUA TUMECHOKA NA MAISHA YETU MAGUMU YA TANZANIA LAKIN UKIPATA HABARI KM HIZI FATILIA USIKURUPUKE KUONA UNAENDA KUKWEA PIPA TANZANIA UNAIACHA HURUD TENA,UTAULA MKENGE.....mana ktk wale niliowashirikisha kuna wengine hawanielew had leo wanaona km nimewachinjia baharin akat ni mm mwnyw niliwashirikisha.........kueni makini na mitandao kwa wale wenzangu na mimi tusiofaham.
 
nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza kwa kujitambulisha yeye ni nani,yuko wap,anafanya kazi hedikota za redcross marekani,akataka pia kujua m nafanya nini,nilipojibu nikakwepa lile swal na chochote kinachonihisu nikimvutuia muda wa kumsoma vizuri.siku kama tatu zikapita,akanipa taarifa kwamba anahitaj picha yangu,huku yeye katuma yake,nikamchunia nikawa namjibu stor za kusogeza muda....siku hiyo akaniambia,umekuwa so kind kwangu naomba nikurushie dili la kaz,akidai redcross ya marekan inahitaji watu wa kwenda kufanya kazi HAITI,cz haiti ipo ktk matengenezo/kujengwa upya baada ya tetemeko.akanitumia web ya usa redkrosi na hiyo program.mi nikaichek nikaona ni kweli kbs ipo.akanambia niwasiliane na mtu akanipa adress ya yule mtu akidai yupo kwenye channel km HR.kwel,nikakontakti nae...yule Hr akanirushia kwa mtu mwingine akidai ndo muhusika na Africa....yule mtu akaanza kunipa details kwamba,wanahitajika watu 8-10,then visa,accomodation kwa jil ya trainning wanahusika nayo wao kimalipo,ndege na pochopocho nyingine ila sie tunahitajika kutoa sh152 za kwa jl ya pasport za hait.kwa kuwa kizuri kula na mwenzio kuna ambao niliwashirikisha
Mchezo ulianza hapo sasa.......form ya kwanza ikatumwa,ile form ndo ilinishtua ipo kiholela zaid kwa mtu wa kawaida ambae hana utaalam na document tena hasa za international hawez jua.ile form nikajaza mimi km mimi nikatuma.tukatumiana viform ikafika hatua nikaanza kudaiwa hela ileee coz nilimwambia tupo 8 akataka 1.2 na zaid million.baada ya kuona kudaiwa kunazid ikabidi niamke na kuanza kuifatilia hiyo,nikapga simu ubaloz wa marekan wakanambia hawana taarifa ya hiyo kitu,kufuatilia adress walizonipa zikawa tofaut kbs na usa redcross hedikota.....ikabidi nimwonyeshe mimi ni mtanzania tena wa uswahilin....akipiga kuulizia hela namwambia mbona nimetuma,na mimi ikabidi niwe namkazania anipe vipaspot kwakuwa nishatoa hela......UNAJUA NINI KILITOKEA.....aliejidai HR akanambia tumefunga file lenu tunawachukua wa sudan coz nyie wasumbufu mnajifanya mnajua sana mashirika ya watu....nikiendelea kuda nikashangaa ma email yananiletea report tu FAILURE.
NACHOTAKA KUWAAMBIA NI KWAMBA,NAJUA TUMECHOKA NA MAISHA YETU MAGUMU YA TANZANIA LAKIN UKIPATA HABARI KM HIZI FATILIA USIKURUPUKE KUONA UNAENDA KUKWEA PIPA TANZANIA UNAIACHA HURUD TENA,UTAULA MKENGE.....mana ktk wale niliowashirikisha kuna wengine hawanielew had leo wanaona km nimewachinjia baharin akat ni mm mwnyw niliwashirikisha.........kueni makini na mitandao kwa wale wenzangu na mimi tusiofaham.

aibuuuuu
sasa kweli mtu from nowhere akupe tender ya joob kweli
 
Mie wamenisumbua sana hao jamaa mwakajana na juzi bt wakinambia swala lakutuma hela tu huwa wananikosa hapo tu... Pole mkuu hawakukutapeli kweli? Hebu kuwa muwazi
 
sijatapeliwa aisee
 
Hizi habari kwa mtu yeyote aliye kwenye mtandao kwa muda wa kutosha ni za kawaida sana...Halafu wala huitaji wiki tatu kujua kuwa ni utapeli sana sana ukipata email mbili tatu unajua.
 
mitandao hii inamengi sana jaman......kwanza;habar wanajf

nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza kwa kujitambulisha yeye ni nani,yuko wap,anafanya kazi hedikota za redcross marekani,akataka pia kujua m nafanya nini,nilipojibu nikakwepa lile swal na chochote kinachonihisu nikimvutuia muda wa kumsoma vizuri.siku kama tatu zikapita,akanipa taarifa kwamba anahitaj picha yangu,huku yeye katuma yake,nikamchunia nikawa namjibu stor za kusogeza muda....siku hiyo akaniambia,umekuwa so kind kwangu naomba nikurushie dili la kaz,akidai redcross ya marekan inahitaji watu wa kwenda kufanya kazi HAITI,cz haiti ipo ktk matengenezo/kujengwa upya baada ya tetemeko.akanitumia web ya usa redkrosi na hiyo program.mi nikaichek nikaona ni kweli kbs ipo.akanambia niwasiliane na mtu akanipa adress ya yule mtu akidai yupo kwenye channel km HR.kwel,nikakontakti nae...yule Hr akanirushia kwa mtu mwingine akidai ndo muhusika na Africa....yule mtu akaanza kunipa details kwamba,wanahitajika watu 8-10,then visa,accomodation kwa jil ya trainning wanahusika nayo wao kimalipo,ndege na pochopocho nyingine ila sie tunahitajika kutoa sh152 za kwa jl ya pasport za hait.

kwa kuwa kizuri kula na mwenzio kuna ambao niliwashirikisha Mchezo ulianza hapo sasa.......form ya kwanza ikatumwa,ile form ndo ilinishtua ipo kiholela zaid kwa mtu wa kawaida ambae hana utaalam na document tena hasa za international hawez jua.ile form nikajaza mimi km mimi nikatuma.tukatumiana viform ikafika hatua nikaanza kudaiwa hela ileee coz nilimwambia tupo 8 akataka 1.2 na zaid million.baada ya kuona kudaiwa kunazid ikabidi niamke na kuanza kuifatilia hiyo,nikapga simu ubaloz wa marekan wakanambia hawana taarifa ya hiyo kitu,kufuatilia adress walizonipa zikawa tofaut kbs na usa redcross hedikota.....ikabidi nimwonyeshe mimi ni mtanzania tena wa uswahilin....akipiga kuulizia hela namwambia mbona nimetuma,na mimi ikabidi niwe namkazania anipe vipaspot kwakuwa nishatoa hela......UNAJUA NINI KILITOKEA.....aliejidai HR akanambia tumefunga file lenu tunawachukua wa sudan coz nyie wasumbufu mnajifanya mnajua sana mashirika ya watu....nikiendelea kuda nikashangaa ma email yananiletea report tu FAILURE.

NACHOTAKA KUWAAMBIA NI KWAMBA,NAJUA TUMECHOKA NA MAISHA YETU MAGUMU YA TANZANIA LAKIN UKIPATA HABARI KM HIZI FATILIA USIKURUPUKE KUONA UNAENDA KUKWEA PIPA TANZANIA UNAIACHA HURUD TENA,UTAULA MKENGE.....mana ktk wale niliowashirikisha kuna wengine hawanielew had leo wanaona km nimewachinjia baharin akat ni mm mwnyw niliwashirikisha.........kueni makini na mitandao kwa wale wenzangu na mimi tusiofaham.
Hili ni somo zuri sana kwa watanzania! Pole kwa yaliyokupata. Ufahamu wako wa utapeli wa kimataifa ulikusaidia sana.
 
Back
Top Bottom