Hii ndiyo tz tunayoitaka kitabu makini by Mchungaji Kamara

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,800
11,333
Habari wakuu natumai mko poa. Kuna kitabu kimeandikwa na mwinjilist kamara kusupa ni bonge la kitabu kwa kila mwanaJF na watz kwa ujumla kukisoma. Jamaa anaelezea kwa ustadi mkubwa wapi tulipokwama na masuluhisho juu ya matatizo yanayotukabili kwa kufuatana na historia yetu kabla na baada ya uhuru.
 
Kinapatikana wapi na kwa bei gani? Funguka.
 
bei yake elfu 10. Awamu ya kwanza kiligombaniwa kama kuku hivyo sidhani kama kwa sasa kipo kwa wauzaji wa vitabu. Ila kama unahitaji nichek kwa 0713 522323 ili nikupe namba ya author.
 
Back
Top Bottom