Hii ndiyo Tanzania inatawaliwa na mapanya na Matonyas

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Pamoja na kujisifu upuuzi kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani, kumbe kuna sifa nyingine watawala wetu hawataki kutwambia-kisiwa cha mapanya na Matonya. Tanzania ni ya tatu kwa kupokea misaada toka kwa wafadhili baada ya Iraki. Ukiwauliza watawala wetu nini kimefanyika zaidi ya kutoa ohaa nyingi hawana la kuonyesha. Kwa habari zaidi,BONYEZA HAPA
 
Na chakusikitisha zaidi mkuu inaweza kuingia kwenye top 10 ya nchi zenye rasilimali nyingi na nzuri Afrika. Na majanga ya asili hayatukumbi, vita hatuna je umatonya wote huo unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom