Hii ndiyo sababu Mh Zitto Kabwe anaimani zaidi na Baraza kuu la Chadema kuliko Kamati kuu!

Nairowa

Member
Jun 3, 2013
60
38
Nianze kwa kutangaza Maslahi mimi ni Mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA

Kwanza wafahamu wajumbe wa Baraza kuu..........

1.VIONGOZI WOTE WA KITAIFA,


2.WENYEVITI WOTE WAMIKOA,


3.WENYEVITI WOTE WILAYA,

4.WENYEVITI WOTE WA MAJIMBO,

Mh Zitto amekuwa na imani na Baraza kuu kwa sababu hii;

wajumbe wengi wa Baraza kuu tuliwahi kushawishika na Hoja ya Mh Zitto kuwa akiwa mwenyekiti wa Taifa atawalipa mshara viongozi wote hadi Ngazi ya Wilaya, kwa maana hiyo wajumbe wa Baraza kuu walijua kuwa Mh Zitto akiwa Mwenyekiti wa Taifa tutakuwa tunafanya kazi ya kulipwa tofauti na sasa ambayo tunajitolea,

Binafsi niliwahi kuwa muumini wa Mh Zitto hadi siku alipo vuliwa nyazifa zote za uongozi ndani ya Chama, mimi ni kati ya watu ambao niliumizwa na uwamuzi huo, lakini nidhamu ambayo Mh Zitto ameionyesha ndani na nje ya Vikao kwa Viongozi na wanacha imenifanya nimdharau kama siyo kumchukia Mh Zitto,


naomba mungu anipe uzima niweze kushiriki kwenye Baraza kuu itakayo jadili Rufaa ya Zitto, haki tena tutakufukuza...
 
Ulishawahi kuuliza kwenye mikutano yenu ya Baraza Kuu kwanini hamlipwi? Kama uliwahi kwanini unaendelea mpaka leo kujitolea? Je, ulishawahi kuuliza hizo fedha ZZK atazitoa wapi na kama kakopa atazilipaje? Tambua ya kwamba ZZK hawezi kununua watu bila yeye kununuliwa...

Najua utasema mnaruzuku ya Chama na misaada... Hivi ushajiuliza endapo CHADEMA wakikosa Wabunge chama kitajiendeshaje?

Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!... Kazi ya Siasa by nature si kazi ya kuajiriwa na ukitegemea Siasa ndo iendeshe maisha yako tegemea kuwa tambala la deki au kondom ukishatumika watu wanakutupa kule...
 
kama wajumbe wa baraza kuu ndo watu kama wewe basi hilo baraza limejaa vihiyo wa ajabu huna hoja.
 
Back
Top Bottom