Hii ndiyo nguvu ya umma ya CHADEMA inayowafanya CCM wasilale

hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.
 
​mrema alikuwa mamluki ndio maana anaisapoti ccm mpaka leo moto wa chadema ni kama wa kamanda kagame hakuna kurudi nyuma poleni sana mnaoamini nbuzi kugeuka samaki ndoto nzuri sana hiyo
 
hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.
 
hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.

Kuna tofauti kubwa kati ya Mrema(NCCR/TLP) na viongozi wa CDM.Unapozungumzia cdm unazungumzia mfumo ambao unajengwa na viongozi wengi tofauti na mrema zaidi ya yeye kuwa maarufu nani mwingine ulikuwa unamjua? Ni maombi yenu CDM ife lakini kwa mapenzi yake Mola kitaendelea kustawi hata aondoke nani.
 
Chadema mzunguke, hata mara mia. Nchi hampati kuiongoza, kwa kura za wangapi? kwi kwi kwi teh teh teh! Kwanza wale mnaosema ndio kidogo Tanzania msahau kabisa kura zao.
 
kichaa akijijua watu kama nyie mtakuwa ni maphd wa vichaa poleni sana kwa maana chadema inwafanye mfuturu kwa kunywa ndovu na kiti moto wakati ni wanauamsho tumewashika patamu ha ha haa
 
hakuna shaka kwamba saa ya ukombozi imewaidia kwakuwa wenye nchi wameamua kufanya mabadadiliko na hakuna mwenye kuwazuia ingawaje tunaweza kujidanganya vinginevyo lakini ukweli ni kwamba chama chetu cha maulaji muda wa kuendelea kula umetaradadi kuhitimishwa.
 
hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.

siamini kama unatumia mdomo kusema, inawezekana masaburi @work!
 
Mkuu, ni mjukuu au mwanae?
 
siamini kama unatumia mdomo kusema, inawezekana masaburi @work!

Heri anenae kwa masaburi lakini akanena ukweli kuliko kuota ndoto ya mchana. Hivi SLAA bado mnamueka kwenye orodha ya watu wanaotakiwa kuwa viongozi wa nchi hii? Anatakiwa awe kwenye orodha ya waliotangaza kuachana na siasa ili wamuenzi baba wa taifa.
 
hakuna shaka kwamba saa ya ukombozi imewaidia kwakuwa wenye nchi wameamua kufanya mabadadiliko na hakuna mwenye kuwazuia ingawaje tunaweza kujidanganya vinginevyo lakini ukweli ni kwamba chama chetu cha maulaji muda wa kuendelea kula umetaradadi kuhitimishwa.

NAPE katufungua macho,tutafakari kwanza kabla ya kuingizwa mkenge na hawa Magwanda.
 
hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.

Bado unahadithi za mbona, mpaka leo unafikiri basic education is std seven? Badilika ndugu yangu soma alama za nyakati
 
hata mrema walimsukuma, walimsukuma, walimbeba mwishowe anakoboka ngozi kama nyoka. huyo nae watamzuia watamsukuma na kumbeba mwisho ataenda kulea mjukuu wa mwanae josephine mushumbushi.
Wacha hayo maneno ya mkosaji kama sio wizi wa kura nani ana story na CCM???? Safari hii nakwambia hata wizi hamtaweza tutajipanga mpaka kieleweke lazima tuwapige chini tumewachoka na wizi wenu!!!!Mfano uliona kwa ARUMERU!!!

zomba nafikiri huna dini,wewe ni nani uzue nguvu ya umma,una uwezo kwa familia yako tu na mkeo na siyo vinginevyo na kama upo jasiri na serious verify ur sername ili 2015 tukuonyeshe hadharani nguvu ya wananchi.fu.....l
 
Last edited by a moderator:
Tz ya leo nyingine kabisa, nakumbuka chaguzi za 1995,2000,2005 kila baada ya uchaguzi hakuna siasa kabisa lakini tangu tumalize uchaguzi wa 2010 mambo ndo yananoga utadhani uchaguzi ndo umekaribia,nadhani wananchi wanahasira ya kudhulumiwa!
 
Back
Top Bottom