Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,836
93,615
CRY-1.jpg
Nimeipata hii ya Ndege inayotajwa kuwa na starehe za kutosha ikiwa imetengenezwa ubora kuliko Ndege yoyote ile duniani. Ndege hii inafahamika kama “World’s Most Luxurious Commercial Jet ikiwa na jina la kibiashara Crystal.
Crystal-Luxury-Air-Global-Express-XRS.jpg


Crystal Plane ina mgahawa wa kisasa zaidi kuliko hata migahawa ya mitaani, Bar ambayo ni Classic sana, pamoja na huduma ya Internet yenye kasi zaidi ya Wi-Fi… Ndege hii inamilikiwa na kampuni kutoka nchini Marekani.

Gharama za kuikodi ndege hii ni dola za Marekani elfu hamsini kwa siku moja huku abiria akipewa huduma ya hadhi ya hoteli ya five star. Ndege hii inatarajiwa kuanza kutumika na wateja ifikapo mwaka 2017.

Nimekusogezea hapa picha za ndani ya ndege hiyo mtu wangu.

cy2.jpg


cy3.jpg


cy4.jpg


cy5.jpg


cy6.jpg


cy7.jpg


cy8.jpg


jet-1.jpg


Chanzo: Malunde blog
 
Jina "pangaboi" lina resonate vizuri na sisi waswahili. Bombadier, ni gumu kidogo.

basi walau waziite tu ndege. haina haja ya kuzipa A.k.a.. hili neno pangaboi linakera sana. wengine wanaita mapanga shaaa wengine wanaita propela wengine wanaita tukutuku.. dahh... tujifunze kuridhika jamani watanzania
 
Back
Top Bottom