Hii ndiyo Kimboka By Night...!

Ni kweli, pale Ujerumani kuna stripping clubs katika street ya makahaba mashuhuri na mashoga maarufu. Inafanyika kwa sababu sisi wanaume tunawachukua na tunawahitaji... Ni kama iliyo biashara ya utumwa tu, difference ni uwa after kupewa mambo kila mtu anachukua time yake.
Jamii ina mambo na kamwe hayataisha!

Biashara ya Ukahaba ipo dunia nzima.Tofauti tu ni viwango. mfano maeneo yake, namna inavyoendeshwa na aina ya makahaba.Kule Thailand kuna biashara kama hii ni halali kabisa inaitwa SEX TOURISM
 
Mtambuzi acha uvivu... kamalizie research yako. You still have many questions to address, and unless you buy them several times and have enough time of discussion, utakuwa unatupausha hapa na habari za juu, juu...
 
Last edited by a moderator:
Biashara ya Ukahaba ipo dunia nzima.Tofauti tu ni viwango. mfano maeneo yake, namna inavyoendeshwa na aina ya makahaba.Kule Thailand kuna biashara kama hii ni halali kabisa inaitwa SEX TOURISM

Na Udachi kuna kitu inaitwa Thai Massage. Massage ya mwili kwa mwili. Mabinti wa Thailand wadogo - nilishuhudia wa umri wa miaka 16 - 25 wakishushwa club fulani Rotterdam...... Na kumbuka ukipigwa ile Thai Massage ukishindwa mzee waongezea Euro zako 100 unaendelea na kifuatacho ITV.....

Mwisho wa Mtambuzi ukahaba kwa upana wake una mambo mengi sana..... Sio makahaba wenyewe, jina wanaloitwa (japo ukahaba ungeweza kuwa na jina la SIMBA na bado kwa mwitikio na mapokeo ya wengi ingeonekena ni tusi pia), sehemu etc. It's a totality of relations between the prostitution chain.

Wakati red street lights Amsterdam inaingiza Euros nyingi kwa Udachi sisi UKAHABA imekua ni source ya STIs, kupotea kwa nguvu kazi, ulevi uliopindukia, umaskini uliokithiri, etc.

As you put it up we're not dealing with the root cause..... Ni hadi pale serikali na wote tutakapoamua timiza wajibu wetu na deal na chanzo cha tatizo... UKAHABA sio MAKAHABA, NIGHT CLUBS, VIROBA, BANGI etc..... Its more than that!
 
Kwa sababu wanunuzi ni wanaume na ndio wanaofaidika na hako kamfumo.
Basi haitakaa siku haka kamfumo kakomeshwe.
Juu ya ubinafsi wa wanaume. Ingekuwa mwanamke ndie mfaidi mkuu mbona ungekuwa umekomeshwa kwa kishindo na kutungiwa sheria kali kabisa.
 
Kumbe nao huwa wanakujaga huku Kimboka, nilikuwa sijui mkuu..... Ahsante kwa taarifa...LOL

Mimi ni mnunuzi mzuri sana wa huduma hii....Mchangiaji wa hapo juu anakupotosha(Kijana Msomali) ,Makahaba wanaouza Jolly, Qbqr, Masaki...wote wanatoka uswahilini na sio mitaa ya huko.....Na ukiona wasichana wa maeneo hayo wako Java, Mafia Lounge...etc mara nyingi wanakuwa na Maboyfriend zao au wako kistarehe na sio kujiuza
 
Hivi mnajua ni kwa nini makahaba wengi wanatokea katika maeneo ya uswahilini kama vile Buguruni, Mwananyamala, Tandale, Kigogo, Tandika na kwingineko, na isiwe ni Masaki, Kawe au Mikocheni?


Mtambuzi

I strongly disagree with u....may be u r not much exposed ndio mana wasema hivyo....tembelea Bills,Java na Jolly Weekend na utakutana na mabinti wengi from Masaki, Mikocheni na OysterBay...

Tembea Mtambuzi Utambua Mambo...lolz
hapo kwenye red tutabishana mpaka asubuhi!
 
jamani labda tufanye hivi kila mtu aende kwenye utafiti aje na alichokipta juu ya hawa wanaojiuza. but mie kwa kuongea na wachache tu nilikutana na mallalamiko ya kuonewa sana na hao wateja wao.

ila kuna wanandoa ambao uwa wanawahtaj sana hawa mabinti ili kuokoa ndoa zao. msishangae wapo wanaume ambao hawawez kusimamisha pasi kufanyiwa ufirauni na kahaba na akishasimamisha basi anampanda mkewe seriously hii ipo na kibaya zaid hutokea ndani ya ndoa sasa jiulize hivi huyu baba kwanini awe hivyo? na je mkewe hawez kumfanyia hayo ili asimamishe?
 
Bila shaka unazungumzia hapa mahali au?

IMG_0676.jpg

hahhaaaa!! aka HQ,kulia kwake Shiverz,Picnic!lolest
 
Kunatofauti ya kwenda mahali kwa ajili ya starehe zako na kwenda kujiuza!

tembea uone wewe asilimia tisini ya mademu wanaokua pale joly club,bills na hata corner bar ambako ni pakishua wanajiuza, kama huamini joly hua kuna mademu hawaingii ndani hivo hivo na corner bar wanajipanga road ka ilivokua ohio zamani.:lol:
 
Duh!Inasikitisha sana. Pamoja na umasikini kuwa ni tatizo kuu la kusababisha vibinti vidogo kuporomoka maadili lakini pia na zama hizi zimebadilika sana jamani! Siku hizi watoto wengine wazazi wao wanauwezo kabisa na wanapewa kila kitu lakini wanakuwa na kiu ya kujifunza mambo yanayowazidi umri wakiwa bado wapo katika umri mdogo!! Eeh Mungu okoa hiki kizazi!!
Wewe umesema kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli MUNGU OKOA!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe umesema kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli MUNGU OKOA!!!!!!!!!!!!!!
Usikimbilie kusema tu watoto wanakimbilia mambo,sijui dunia ya siku hapana kumbuka ukahaba ni kama uchawi haya mambo yameandikwa kwenye vitabu vya na hayatakaa yaiashe mpka kiama na kumbuka yasingekuepo leo ungeshindwa kuabudu kwa kuona maandiko yanaongopa cha msingi TRA ifanye kazi ili tukuze uchumi wa nchi basi.
 
Mimi huwa nashangaa tunaposema kama kusingekuwa na wanunuzi hawa wanaojiuza wasingekuwepo. Unajua vice versa is true. Kama hakuna hao wanaojiuza pia kusingekuwa na wanunuzi. Unaweza kwenda kwenye banda la ng'ombe kununua mayai? Tatizo hapa tunaangaliana sisi wanadamu kwa wanadamu na kuhukumiana tukaacha kumwangalia shetani ambaye ndiye anayekamata watu na kuwafanya watumwa wake na hivyo kuwatumia kama apendavyo mwenyewe.

Naamini wengi tumetembea katika nchi mbalimbali na katika mitandao mbalimbali. Tuwe wakweli, suala la ukahaba, umalaya au jina lolote tunaloweza kuita, liko Tanzania tu kwa sababu ya umaskini? Je wanaotumia madawa ya kulevya wengi wao ni watoto wa maskini? Hakuna kundi la watu hawa katika nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa nk? Mbona ni nchi zilizoendelea na kuwa na utajiri mkubwa tuuu!!!!!!!!!!!!! Tusikwepe wajibu kwa kusingizia mambo yanayobeba asilimia ndogo sana ya ukweli juu ya tatizo hili tukaacha ukweli wa tatizo lenyewe.

Sio kwamba nakataa ukweli kwamba umaskini unaweza kusababisha tatizo hili au matatizo katika ndoa, ninachosema adui yetu nambari one ni shetani kwani wako wasichana wengi sana wanaotoka katika familia duni sana inawezekana hata kushinda hao wanaojiuza lakini wanapambana na maisha mpaka wanavuka bila kuwa malaya. Lakini hao ambao wanapenda maisha rahisi kwa kisingizio cha maisha magumu ndio wanaofanya haya. Wako wasichana ambao ni wanafunzi wa vyuo mbalimbali wanafanya ukahaba na unakuta wanatoka katika familia ambazo zina uwezo mzuri tu, na hawa tusemeje?

Kuna mahali wazazi wameshindwa kusimama katika nafasi zao kama wazazi na kufikiri kila jambo mtoto analotaka hata kama lina madhara kwa maisha yake ya baadaye ni lazima apewe na kwa sehemu kubwa utandawazi umehusika kwa kiasi kikubwa kuharibu watoto. Waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi akishakauka atavunjika. Ndio sababu ninasema kazi kubwa iliyoko sasa ni kumwomba Mungu aingilie kati.

Nawashauri wazazi tuwe karibu na watoto wetu, hata katika hali ngumu tuongee nao tushirikiane katika kutatua matatizo ya familia zetu, tuache ukali usio na sababu hasa hali ya uchumi inapokuwa ngumu; lakini kikubwa sana tuwafundishe watoto kumjua na kumpenda Mungu. Katika mazingira tulio nayo sasa na mitandao inayotuzunguka, bila Mungu hatuwezi.

Na sisi sote tusishabikie hawa mabinti kuharibika tuwaombee sana Mungu anaweza kuwabadilisha wakawa tena mabinti wazuri, tegemeo kwa familia na taifa letu. Mungu uwahurumie sana mabinti hawa.
 
Usikimbilie kusema tu watoto wanakimbilia mambo,sijui dunia ya siku hapana kumbuka ukahaba ni kama uchawi haya mambo yameandikwa kwenye vitabu vya na hayatakaa yaiashe mpka kiama na kumbuka yasingekuepo leo ungeshindwa kuabudu kwa kuona maandiko yanaongopa cha msingi TRA ifanye kazi ili tukuze uchumi wa nchi basi.

Mungu akuhurumie sana kwa kuwa hujui usemalo. Hivi hizo picha hapo juu zingekuwa ni mabinti zako ungesema TRA wafanye kazi tukuze uchumi??????? Naomba kujua umri wako pls!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom