Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
Sina takwimu kamili lakini kwa kuwataja wachache ni Prof.Abood,Prof. Yongolo,Dr Mbambo,Dr Mheta,Dr Kategile na kuna chuo KCMC Kina toa wahitimu kila mwaka kwenye hiyo fani kwa takwimu sahihi muandikie msajili Baraza la madaktari.Urologists wako wangapi Tanzania?