Hii ndio siri ya minyukano CCM

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
baada ya kuusoma na kuuelewa mswada wa marekebisho ya katiba nimegundua kwa nini ccm wanapigana sana vikumbo kwa ajili ya urais 2015,.sababu ni rahisi tu kuijua;kwa mswada huu ambao ni kama katiba itabaki vilevile kama ya zamani sababu wabunge wa ccm ni wengi bungeni hvyo itakuwa sheria,..ni dhahiri ccm watajitwalia tena nchi kimabavu kwa kutumia katiba mbovu..2015 vita ni kama haiepukiki...nchi inaelekea kubaya kwa uroho wa madaraka wa ccm..nanoa panga langu for self defense,..noa lako ujilinde...
 
Hivi wewe mwenyewe unahisi umeeleweka? Hujatuambia ni kwa vipi muswada wa kuanzisha mchakato wa katiba uwe ndiyo katiba yenyewe. Muswada unatengeneza roadmap na baada ya hapo ndipo rasimu itatengenezwa na wadau kupewa nafasi ya kuichangia kabla ya kupitishwa kwa referendum kama sheria itataka hivyo!
 
Back
Top Bottom