Hii ndio simba!

Anyway moja ya wachezaji wa Simba niliyowahi kuwazimia ni Victor Nampoka Costa!! Majeruhi yake huwa yananisikitisha sana! Sijui majaliwa yake sasa!
 
Ramadhan Renry, Malota Soma!

Sitaisahau Simba ya 1993, ilinipa raha maana kila mechi walifunga na kutoka droo na bado walivuka vihunzi vigumu, mechi ambayo Simba ilinipa burudan kweli ni ile walivyoitandila Atletico Aviacao ya Angola mabao 3-0 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam!
 
Yes! Papaa George Magere Masatu akikamata mkoba!! mwameja golini! kiungo hussein Aman Masha! Kule mbele sasaaaa! Noumaaaaa!
 
Duh unakumbuka mechi kati ya Pamba ya Mwanza wana Kawekamo na Mukula Victorias ya Rwanda? Acha wewe! Wale watoto chini ya Kocha Pius Nyamko(RIP) ilikuwa balaa!

ah?
Mimi dogo tu mwana, huyo Chilambo namkumbuka game ya fainali kombe la Muungano kati ya Yanga na Simba @Amman Zanzibar, nikiwa mdogo sana, ilikuwa game ya kwanza kuchezwa usiku hapa kwetu.
Jamaa alisema kuwa uwanjani kuna mwanga kiasi kuwa hata sindano ikidondoka unaiona.
It was awesome!
 
duwa said,mathias mulumba
 
52 ! Hebu ntake razi kabla ya kesho 6 na dkk 1 usiku la la sivyo Mwanasheria wangu Mabere (Maziwa) Marando (Majani ya viazi) atakutembelea.
Judgement nakuomba radhi kwa kukupa maneno ya ukweli kwenye watu wengi ingawa ukweli unaujua...Pamoja na kukutaka radhi pia napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha msimbazi....
 
Judgement nakuomba radhi kwa kukupa maneno ya ukweli kwenye watu wengi ingawa ukweli unaujua...Pamoja na kukutaka radhi pia napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha msimbazi....

hivi kuna watu wanaishabikia Yanga?
 
Yanga washaanza visingizio,wanadai uwanja wa jeshi wanaochezea leo eti majukwaani vimejaa vifaru na mizinga!!
 
ah?
Mimi dogo tu mwana, huyo Chilambo namkumbuka game ya fainali kombe la Muungano kati ya Yanga na Simba @Amman Zanzibar, nikiwa mdogo sana, ilikuwa game ya kwanza kuchezwa usiku hapa kwetu.
Jamaa alisema kuwa uwanjani kuna mwanga kiasi kuwa hata sindano ikidondoka unaiona.
It was awesome!

nakumbuka sana hii game kama si KIMTI basi DUA..alituliza Yanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom