hii ndio shida ya kutomridhisha mwanamke kimapenzi!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
unapiga bao moja unalala,mwenzako mpaka alale anataka kwa uchache bao 3 hapo sasa!!!
 
Attachments

  • 554740_277277872382534_538368175_n.jpg
    554740_277277872382534_538368175_n.jpg
    15.9 KB · Views: 464
unapiga bao moja unalala,mwenzako mpaka alale anataka kwa uchache bao 3 hapo sasa!!!

Hivi lini tutapata akili ya kuelewa mambo? Alikwambia nani mwanamke anaridhika kwa wingi wa mabao uliyopiga wewe?

Hivi ukipiga 7 yeye bila atakuwa ndio amefikishwa au? Mnachosha miili kwa kudhania kumwagamwaga ndio uanaume kiasi ukifikia miaka 45 hamna kitu nguvu kwisha. Kufanya sana sio ndio tija.

Halafu sioni uhusiano wa ulichoandika na hiyo picha ya Nigeria movies
 
Huyo amegonga mzigo halafu mgumu kulipa, angekuwa Moshi angechanwachanwa na viwembe, angekuwa Tanga asingeweza kutoka kwani nguo zote zingekuwa zimelowekwa kwenye maji.
 
Hivi lini tutapata akili ya kuelewa mambo? Alikwambia nani mwanamke anaridhika kwa wingi wa mabao uliyopiga wewe?

Hivi ukipiga 7 yeye bila atakuwa ndio amefikishwa au? Mnachosha miili kwa kudhania kumwagamwaga ndio uanaume kiasi ukifikia miaka 45 hamna kitu nguvu kwisha. Kufanya sana sio ndio tija.

Halafu sioni uhusiano wa ulichoandika na hiyo picha ya Nigeria movies
hata kama ya bongo movies hapa nipo kwa kuenjoy zaidi,wenye jazba kama wewe wakifika miaka 35 huota mvi mpaka chini ya mgongo
 
Hivi lini tutapata akili ya kuelewa mambo? Alikwambia nani mwanamke anaridhika kwa wingi wa mabao uliyopiga wewe?

Hivi ukipiga 7 yeye bila atakuwa ndio amefikishwa au? Mnachosha miili kwa kudhania kumwagamwaga ndio uanaume kiasi ukifikia miaka 45 hamna kitu nguvu kwisha. Kufanya sana sio ndio tija.

Halafu sioni uhusiano wa ulichoandika na hiyo picha ya Nigeria movies
Mwana Mtoka Pabaya.
Inavoonekana una mchango mzuri katika hili. Una ukweli mwingi unsoujua katika swala hili kuliko mtoa mada mwenyewe. Katika jibu lake kwako inaonasha ndo katoka shule mwaka huu.
Kama hutajali naomba weka uzoefu wako hapa juu ya swala hili. Ni kweli kuwa kupiga mabao mengi kama wanaovoita wao ni kujikamua bure na kuuchosha mwili bila sababu. Nakusubiri kwa hamu; karibu jamvini.
 
Hivi lini tutapata akili ya kuelewa mambo? Alikwambia nani mwanamke anaridhika kwa wingi wa mabao uliyopiga wewe?

Hivi ukipiga 7 yeye bila atakuwa ndio amefikishwa au? Mnachosha miili kwa kudhania kumwagamwaga ndio uanaume kiasi ukifikia miaka 45 hamna kitu nguvu kwisha. Kufanya sana sio ndio tija.

Halafu sioni uhusiano wa ulichoandika na hiyo picha ya Nigeria movies

Uanaume haupo kwenye ngono. Uanaume ni kwa vipi unamudu majukumu ya familia, siyo ngono. Watu bwana! Wenzako wanfikiria juu ya kwenda Mars wewe unafikiria kumwaga
 
Je wewe ni mwanaume wa kweliiiiii. MWANAUME WA UKWELI HUTUMIA DUME.
 
Back
Top Bottom