Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

Kuna Phd Holder Mmoja, Kuna wenye MSc. watatu na wawili wapo study leave. waliobakia ni BSc. sasa najiuliza hichi chuo kinatoa Certificates au degree.
N NAME DESIGNATION REMARKS
1 Dr. Aloys Mvuma Senior Lecturer Available
2 Mr. Leonard Msele Lecturer Available
3 Mr. Salehe Mrutu Assistant Lecturer Available
4 Mr. Justine Woiso Assistant Lecturer On Study Leave
5 Mr. Bakii Seif Juma Assistant Lecturer On Study Leave
6 Mr. Mohamed Dewa Assistant Lecturer Available
7 Mr. Masoud M Masoud Tutorial Assistant Available
8 Mr. Gration Justice Tutorial Assistant Available
9 Mr. Malelo Augustino Tutorial Assistant Available
10 Mr. Said M Said Tutorial Assistant Available
11 Mr. Mohamed M Mjahid Tutorial Assistant Available
12 Mr. Augustino Swai Tutorial Assistant Available
13 Mr. Nixon Mtonyole Tutorial Assistant Available
14 Mr.Adolf Kamuzora Tutorial Assistant On Study Leave
15 Mr.Daniel Ngondya Tutorial Assistant On Study Leave
16 Mr. Ally S Nyamawe Tutorial Assistant Available
17 Mr. Nestory Maro Tutorial Assistant Available
18 Mr.Leonard Mutembei Tutorial Assistant On Study Leave
19 Mr.Gilbert M Gilbert Tutorial Assistant On Study Leave
20 Mr.Tabu Kondo Tutorial Assistant Available
21 Ms.Basilisa Mvungi Tutorial Assistant On Study Leave
22 Mr.Salim A Diwani Assistant Lecturer Available
23 Mr.Fakii Idd Bakari Assistant Lecturer Available
24 Mr.Benard Julius Tutorial Assistant Available
25 Mr.Hamisi Fereji Tutorial Assistant Available
26 Mr.Victor Crallet Tutorial Assistant Available
27 Ms.Maria Gabriel Chuwa Tutorial Assistant Available
28 Mr.Thomas Tesha Tutorial Assistant Available
29 Mr.Steven Edward Tutorial Assistant Available
30 Mr.Feruzi Hassan Tutorial Assistant Available
31Mr.Joseph Thobias Tutorial AssistantAvailable
32 Ms.Bertha Edes Shao Tutorial Assistant Available
33 Mr.Hassan Seif Tutorial Assistant Available
34 Ms.Leila Hamis Liana Tutorial Assistant Available
35 Mr.Mustafa Habibu Tutorial Assistant Available
36 Mr.Godwin Gabriel Tutorial Assistant Available

Link angalia
Staff
AU HATA ELIMU YA JUU IMEKUWA YA KUFANYIWA MCHEZO. ELIMU MAJENGO KAMA SHULE ZA KATA
poleni sana wadogo zangu, hiki kweli ni chuo cha kata

Tuwe tayari kukubali uhalisia wa mambo mbuyu haufanani na mchicha japo yote mimea UDOM haiwezi kwa sasa kuifikia UDSM,SUA au hata Mzumbe japo vyote ni vyuo vikuu but naamini in time they will,UDOM have a long way 2 go japo serikali kutaka chuo kile kukipandisha hadhi fastafasta kiendane na vyuo vingine vikuu bila kujua kuwa wanaharibu kabisa, poleni

wat do u mean? acheni kuishi gizani ile hali mwanga upo
Aliyewaambia mtoto anazaliwa na kutembea siku moja nani? Hayo ni mawazo ya kitoto. wats wrong if college ikiwa inaanza then ukawa na TA wakutosha? ok mtoa mada una elimu kiasi gani? why dont u go there? Kwa taarifa yenu kati ya sehemu zenye elimu ngumu na interview ya ajabu unapoomba kazi udom inaoongoza.
Huu ni uzandiki na unafiki, unajaribukufananisha udom na chuo kipi, katika category ipi? OK nitajie orodha ya vyuo unavyohisi ni bora japo 5 TANZANIA.
Sababu za migomo zipo wazi na nchi nzima? na ile ya Udsm ni kwa ajili ya wingi wa TA.......Huo ni unafiki na utoto

huyu jamaa hajatunga...hawa vijana nawafahamu wote from scratch...

But umesahau kuna wengine kama prof nerrey mvungi(baba yake basilisa mvungi assistant lecturer) and dr justinian anatory.
umetaja wa uchocholoni hawafahamiki na hawamo kwenye list ya staffs wa shule!!

Huyu jamaa hajatunga...hawa vijana nawafahamu wote from scratch...

but umesahau kuna wengine kama Prof Nerrey Mvungi(baba yake basilisa mvungi assistant lecturer) and Dr Justinian Anatory.
Mzee we ni bingwa wa ukweli... Hata mimi namfahamu mshkaji wangu Dr Justunian Anatory nikashangaa hayupo ktk orodha. Ila kwa ujumla elimu ya hapo itakuwa cheap sana kama wataalam wenyewe ndio hao. But hata hivi vyuo vingine wanaofundisha siku hizi ni ma assistant lecturer na hata hao ma PhD holder wanafundisha vitu kwa kusoma vitabuni hawajawahi kupractice hata mara moja. Huwezi kufundisha HRM kwa mfano wakati hata hujawahi kupractice, wizi mtupu elimu ya bongo ndio maana graduate wengi ni incompetent na wasanii

Mbavu mbili;wat do u mean? acheni kuishi gizani ile hali mwanga upo
Aliyewaambia mtoto anazaliwa na kutembea siku moja nani? Hayo ni mawazo ya kitoto. wats wrong if college ikiwa inaanza then ukawa na TA wakutosha? ok mtoa mada una elimu kiasi gani? why dont u go there? Kwa taarifa yenu kati ya sehemu zenye elimu ngumu na interview ya ajabu unapoomba kazi udom inaoongoza.
Huu ni uzandiki na unafiki, unajaribukufananisha udom na chuo kipi, katika category ipi? OK nitajie orodha ya vyuo unavyohisi ni bora japo 5 TANZANIA.
Sababu za migomo zipo wazi na nchi nzima? na ile ya Udsm ni kwa ajili ya wingi wa TA.......Huo ni unafiki na utoto

Kwani tunagombana mkuu,heshimu mawazo ya wengine na wewe utoe yako
@nashukuru kama unakiri kwamba hicho chuo kikuu bado kichanga
@university inalinganishwa na university,sio college wala institute coz chuo kikuu hakifanani na chuo wala taasisi
@kujua ugumu wa elimu ilibidi nawe usome vyuo vingine ujue ugumu wake we utatuambiaje kwamba elimu ya huko ngumu get serious
@kuna interview kaka unapiga mara tatu tatu, oral na written pia we umeona hiyo ya huko tu,omba private kama FINCA uone kwanza written ukipass then oral panel tatu kwa siku moja,argue based on facts sio hisia binafsi

Udom sio chuo cha kata just click here Top Colleges & Universities in Tanzania | University Web Rankings tena kilikuwa cha tatu ila migomo ndo kimeishusha chuo mpaka nafasi ya 4

hiyo rank imebase kwenye nin mkuu?

Asante sana mkuu kwa taarifa nzuri naomba wana JF tusaidiane kutafuta GPA na shule zao hawa walimu wanaofundisha wasomi wetu....

Mie naanza na mkuu wa Idara: Angalizo kwa watafuta taarifa... Masters by Course work ni kama Voda faster...kwa wale wanaolewa MSc by coursework watakubaliana nami.... Na Bachelor kaipataje...? bado CV zake hazionyeshi.

002.07.04
MVUMA Aloys ntanturo
1966.09
1.Move-out ・ Retiree Institution/Organization Unconfirmed
Communication/network engineering
INFORMATION AND COMMUNICATION ENGINEERING
1.REJECTION OF NARROW-BAND INTERFERENCE IN DSSS COMMUNICATION SYSTEM USING ADAPTIVE IIR NOTCH FILTERS.
ADAPTIVE IIR NOTCH FILTER,NARROW INTERFERENCE,SPREAD-SPECTRUM
Research Field： Communication/network engineering , System engineering , Control engineering
（Collaboration in Organization） -
1.STEADY-STATE ANALYSIS OF A SIMPLIFIED LATTICE-BASED ADAPTIVE IIR NOTCH FILTER
IEICE TRANSACTIONS ON FUNDAMENTALS OF ELECTRONICS, COMMUNICATIONS AND COMPUTER SCIENCES （Academic Journal ,2000 ） E83-A / No6 , 965-972
2.A SIMPLIFIED LATTICE-BASED ADAPTIVE IIR NOTCH FILTER AND ITS APPLICATION
THE INSTITUTE OF ELECTRONICS, INFORMATION AND COMMUNICATION ENGINEERS(TECHNICAL REPORT OF IEICE) （Academic Journal ,1998 ） DSP98-125 / 1998-12 , 61-68
3.FSK DEMODULATION USING A SIMPLIFIED LATTICE-BASED IIR ADAPTIVE NOTCH FILTER
THE INSTITUTE OF ELECTRONICS, INFORMATION AND COMMUNICATION ENGINEERS(TECHNICAL REPORT OF IEICE) （Academic Journal ,1999 ） DSP99-129 / 1999-12 , 127-134
1.Hiroshima University
Doctor （Graduate School, Division of Engineering ,SYSTEM ENGINEERING ）
2003
1.Shimane University
University （Faculty of Science ,COMPUTER SCIENCE ）
1.MASTER OF SCIENCE
（Coursework）

Researcher Name
Date of Birth
Organization Name,Department Name,Job Title
Research Field
Keywords for Research Field
Research Theme
Research Result (papers and notes)
(7cases)
Graduate School
Graduating School
Academic Degree

Hakuna tofauti sana na vyuo vingine vya Bongo, hali inatisha mno ukienda pale UDSM kwenye idara kama za uhandisi, watu wako busy kusaka note mitaani, mazingira magumu ya kufanyia kazi pamoja na kujuana kwingi, hakuna vitendea kazi, ofisi zinavuja kila kona, Mtu akitaka kufanya experiment ndo kasheshe haswaa. Saizi kidogooooo udsm wameshtuka kuajiri TAs baada ya kuona udsm was going to hell.
Hatujaamua kuwekeza kwenye elimu ya juu, tunaongeza vyuo lakini our financial control is very poor kiasi cha receivers wa hizo pesa hawako na ubunifu, wanazitafuna kama zao.

Udom mnanifurahisha kwa kuumbua maovu. Sijawahi kukuta mmeweka mazuri yanayofanyika UDOM. Hivi hayapo? Halafu hata hizo data chanzochake nikipi? Tumia hoja nzito kunishawishi hizo data zimetoka wapi. Mf Mr.Mohamed Dewd ninamfaham ni PHD, Pia yupo Salim Diwani nae ni PHD, huyo unamjua? Hivyo ndo mie navyojua. Sasa nishawishi kwa hoja na kama mwanachuo hizo cv ulizoandika zinauthibitisho gani.

Mbavu mbili;wat do u mean? acheni kuishi gizani ile hali mwanga upo

Aliyewaambia mtoto anazaliwa na kutembea siku moja nani? Hayo ni mawazo ya kitoto. wats wrong if college ikiwa inaanza then ukawa na TA wakutosha? ok mtoa mada una elimu kiasi gani? why dont u go there? Kwa taarifa yenu kati ya sehemu zenye elimu ngumu na interview ya ajabu unapoomba kazi udom inaoongoza.

Huu ni uzandiki na unafiki, unajaribukufananisha udom na chuo kipi, katika category ipi? OK nitajie orodha ya vyuo unavyohisi ni bora japo 5 TANZANIA.

Sababu za migomo zipo wazi na nchi nzima? na ile ya Udsm ni kwa ajili ya wingi wa TA.......Huo ni unafiki na utoto

Kwani tunagombana mkuu,heshimu mawazo ya wengine na wewe utoe yako

@nashukuru kama unakiri kwamba hicho chuo kikuu bado kichanga

@university inalinganishwa na university,sio college wala institute coz chuo kikuu hakifanani na chuo wala taasisi

@kujua ugumu wa elimu ilibidi nawe usome vyuo vingine ujue ugumu wake we utatuambiaje kwamba elimu ya huko ngumu get serious

@kuna interview kaka unapiga mara tatu tatu, oral na written pia we umeona hiyo ya huko tu,omba private kama FINCA uone kwanza written ukipass then oral panel tatu kwa siku moja,argue based on facts sio hisia binafsi

@nguchiro
Issue sio kukubali wala kukataa...nani asiyejua udom ni chuo kipya?
Naheshimu mawazo yako but niko against na anayeita chuo cha kata
Wats wrong if unamuajili wa kiwango cha elimu ya kawaida afu unampa opportunity ya kusoma zaidi?
Wats iz n udom ni uongozi ndo tatizo but kuwa na wahadhiri wanaoanzia ngazi ndogo za taaluma si dhambi and dats why wanaruhusiwa kwenda soma after few years kwa sponsor ya college then wanarudi kundini. Wewe mwenyewe shahidi katkak orodha LEAVE ON STUDY so it is a matter of time an space
work up ma Activist an dont sleep. Hata watoto huwalaumu wazazi wao pale but stil wanabaki kuwa wazazi

[Mbavu mbili]

@nguchiro
Issue sio kukubali wala kukataa...nani asiyejua udom ni chuo kipya?
Naheshimu mawazo yako but niko against na anayeita chuo cha kata
Wats wrong if unamuajili wa kiwango cha elimu ya kawaida afu unampa opportunity ya kusoma zaidi?
Wats iz n udom ni uongozi ndo tatizo but kuwa na wahadhiri wanaoanzia ngazi ndogo za taaluma si dhambi and dats why wanaruhusiwa kwenda soma after few years kwa sponsor ya college then wanarudi kundini. Wewe mwenyewe shahidi katkak orodha LEAVE ON STUDY so it is a matter of time an space work up ma Activist an dont sleep. Hata watoto huwalaumu wazazi wao pale but stil wanabaki kuwa wazazi

asante kwa kuelewa mkuu,kila chuo kikuu kina mapungufu yake ila UDOM bado sana kufikia vyuo vikuu vingine,uongozi wao hauko strong at all ila bado hawataki kukubali ukweli, kuhusu kukiita chuo cha kata ni insult hata kama kimeathiriwa na masuala ya siasa

Khaaaah!mkuu co kwamba ume2nga?bado siamini

Senator unapaswa kuamini na huo ndo ukwel. Uzuri ni kwamba jamaa katoa mpaka link ya source ya hizo habari. Jina la chuo si hoja, tubadilike katika mitazamo yetu. They still have a potential to do well in the future. Rome was not built in a day. (Roma non è stata costruita in un giorno)

Kutrain lecturers mpaka level ya PhD sio mchezo, na inahitaji management yenye roho ngumu ya kulipa ada pamoja na peasa za research kwa ajili ya PhD. pia nadhani swala la kutrain lecturers mpaka PhD liwe jukumu la central government na sio vyuo yenyewe, maana ni gharama sana. Aliyekuwa mkuu wa chuo pale IFM, Profesor Joshua Doriye aliinidhisha wahadhiri wake wakaenda kufanya PhD, wengi wakienda UK, Netherlands na Ireland. Ili kuwa ni gharama kubwa lakini sasa manufaa yake yameanza kuonekana. IFM kuna PhD za kutosha na baada ya miaka miwili zitakuwa sio chini ya 50-70. Sasa kwa idadi ya wanafunzi wa chuo kile ratio kidogo itakuwa sio mbaya. Cha msingi ni management iliyopo sasahivi kufanya namna ya kumaintain hao jamaa. Ushauri kwa UDOM ni kufanya kama IFM walivyofanya.

Tatizo jamaa pale juu ni mdini sana, ndo maana kapendekeza ajira kwa ma-TA wengi 'wanyenyekevu'.

[Jabulani];Tatizo jamaa pale juu ni mdini sana, ndo maana kapendekeza ajira kwa ma-TA wengi 'wanyenyekevu'.

Fafanua mkuu, umetuacha.

Back
Top Bottom