Hii Ndio Rasimu ya kwanza ya MKUKUTA nini Maoni yako?

Je Rasimu hii ya MKUKUTA inakidhi haja ya watanzania


  • Total voters
    11

add

Member
Jun 26, 2007
12
1
Ndugu Zangu,

Serikali imetoa rasimu ya MKUKUTA kwaajili ya kupata maoni ya wadau. Tumia link ifuatayo uweze kupata nakala yako kama ungependa kuchangia mawazo (http://www.policyforum-tz.org/files/MKUKUTAIIzeroDraft.pdf)

Policy forum wanafanya mchakato wa kukusanya maoni haya kwahiyo kwa watakaopenda kupeleka maoni ya kina kwa maandishi unaweza kufanya hivyo kwa kuwatumia kwenye email ya policy forum info@policyforum.or.tz

Mwisho wa kutuma maoni ni tarehe 15 Mei Mwaka huu ili maoni yawafikie waandishi wa MKUKUTA na Sekeretariat ya MKUKUTA

Karibuni tujadili and kuepika mustakabali wa Tanzania.
 
Kwanza niwasahihishe MKUKUTA kwa kiingereza ni "National Strategy for Economic Growth and Reduction of Poverty (NSEGRP)" na sivyo kama wanavyoandika eti NSGRP.

Pili, tatizo la policy nyingi za Tanzania ni kutokuainisha jinsi ya utekelezaji wake. Makabrasha mengi tu yameandikwa tangu enzi ya TANU lakini tumeshindwa kuyatafsiri ili hata mtendaji wa kijiji ajue ni nini anacho takiwa kufanya ili kutekeleza mkakati husika.
 
Back
Top Bottom