Hii ndio njia rahisi ya kujua kama unamridhisha mpenzi wako

Yoyote anaweza kumuanza mwenzie....cha msingi ni ile response baada ya kutoa signal. Kama response ni negative daily mara zote malalamiko basi ujue hauko vizuri kwenye tendo...

Inaenda ika expire baada ya miaka fulani
 
wewe utakuwa ni kiazi kama ukitaka kumtomba mkeo unamuhonga kwanza... inaonekana we jamaa ndio umekariri kuwa ukisikia watu wanaongea habari za kutombana akili yako inakimbilia kwenye kununua QUMER... halafu we pia unaonekana huwezi kudindisha mpaka uwe na hela mfukoni.. hahahaha


acha kukariri bwana mdogo. Kuna mwingne anaweza kukutafuta umtombe kwa vile tu unampa pesa kila ukimtomba lakn kitandan kumbe f

Wadau,

Ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi.

Kama wewe ni mwanamke na kila mara wewe ndo unaanzisha game au kubembeleza tendo basi jua kuwa mumeo hakufurahii na humridhishi.

Kama mnaridhishana basi kila mmoja wenu atakua anamuwaza mwenza wake na kutamani kuwa nae wakati wote, hata kama upo kazini mtakua mnawaza muda wa kutoka kazini ufike mapema ukamuone mwenza wako.

Ni hilo tu wadau.
 
Hapo umetuchanganya kdg mdau kwa sabb lazma mmoja amuanze mwenziwe! Hata kama mnawazana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom