Hii ndio njia rahisi ya kujua kama unamridhisha mpenzi wako

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,267
718
Wadau,

Ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi.

Kama wewe ni mwanamke na kila mara wewe ndo unaanzisha game au kubembeleza tendo basi jua kuwa mumeo hakufurahii na humridhishi.

Kama mnaridhishana basi kila mmoja wenu atakua anamuwaza mwenza wake na kutamani kuwa nae wakati wote, hata kama upo kazini mtakua mnawaza muda wa kutoka kazini ufike mapema ukamuone mwenza wako.

Ni hilo tu wadau.
 
unamaanisha ni lazima muombane kwa pamoja? si ni lazima aanze mmoja anaweza kuwa ke au me
 
wadau, ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi. Kama wewe ni mwanamke na kila mara wewe ndo unaanzisha game au kubembeleza tendo basi jua kuwa mumeo hakufurahii na humridhishi. Kama mnaridhishana basi kila mmoja wenu atakua anamuwaza mwenza wake na kutamani kuwa nae wakati wote, hata kama upo kazini mtakua mnawaza muda wa kutoka kazini ufike mapema ukamuone mwenza wako. Ni hilo tu wadau.

acha kukariri bwana mdogo. Kuna mwingne anaweza kukutafuta umtombe kwa vile tu unampa pesa kila ukimtomba lakn kitandan kumbe f
 
Yoyote anaweza kumuanza mwenzie....cha msingi ni ile response baada ya kutoa signal. Kama response ni negative daily mara zote malalamiko basi ujue hauko vizuri kwenye tendo...
 
Ngono oriented mind. upo kazini unawaza utoke saa ngapi ukangonoke? umaskini huu utatuepuka kweli?
 
Huyu nae unakuta anawaza kuja kua Mchumi Benki ya dunia, kweli?
Labda wakufanyie usaili Idara ya Uhamiaji
Shenzy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom