Hii ndio jengo mojawapo katika tunayoita jiji la Tanga.

Nakubaliana na hoja yako; kuna jengo pale karibu na La Cassa Chica club, ni msonge --------- na NGO inaitwa TAYODEA ni jengo la kabla ya mwaka 1920. Tanga safi sana.
Jengo zuri sana na halitakiwai kuvunjwa, kinachotakiwa ni kulikarabati na kulinda uasilia wake. Hili jengo na mengine kama hayo yanaweza kuleta fedha nyingi kupitia biashara ya utalii....
 
Back
Top Bottom