Hii ndio hali halisi Baada ya Waalimu Kugoma

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
554567_340009149421003_514432810_n.jpg
 
Bora wajisomee kwani wanajua ni nini kimewaleta, maana Walimu wanachogomea hata sikijui kwani Sensa wamelilia na posho wamevuta.
Wakati nipo Chuo wako waliokuwa wakinywa chakali na Paper wanapiga kisawasawa, hata madr wengine lazima wanywe ili kujizimua
Kweli ni makosa kuingia na chupa tupu yenye nembo ya kinywaji unaweza mpiga nayo mwenzake
 
Back
Top Bottom