Hii ndio depression au nini wandugu

hehehe kamanda hili jina lako ni multitask na nina hakika umelichagua kwa mantiki ya kutuambiguity lakini mie acha nikae kimya tu na nijifanye kukuita mbu wa moskwito. Nina uhakika kwa upande mmoja jina lako limebeba jibu la hii sred. lol

...LOL!...e bana nashukuru kwa kunielewa. Mimi ni Mbu bin Moskwito. No More no less, he he he...

Una uhakika Mbu ndio tiba kloro? thibitisha bana

...Gaga usimsikize huyo. Anajua bila Malaria, Klorokwini haiuziki!
 
Gaga mbona hutaki kuelewa mtego unaoekewa??Maana yake UMTAFUTE KLOROKWINI atakusaidia...tho sikushauri!
khaaaa! huyu Lizyy tangu tudate mara moja amekuwa na mawivu na mimi kweli aisee, halaf anatumia taktik ya ajabu sana. dah!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nashukuru kwani tayari niko mbali tangu wednesday najaribu kutafakari mpaka hii holiday iishe

Umefanya vzr,
ila huko ulipo jaribu/jitahidi kujihusisha zaidi na vitu vigeni kabisa machoni pako,
ili akili yako muda mwingi iwe inavifikiria hivyo na kuvitafakari,unajua ukiona kitu kizuri unachokipenda basi ni mara chache kutoka akilini,tena ukikiwazia unajikuta hauachi kusmile...
na hakikisha unapata FRESH AIR kabisa,kwani nayo ni tiba nzuri zaid...

NAKUTAKIA MAPUMZIKO MEMA, PIA PASAKA NJEMA.
 
Duh hapo rafiki nimeshindwa kukupata kabisa, unajisikia vibaya halafu hujui ni nini? mie nafikiri unakujua haswa ila tu hutaki kukubali kwamba ni hicho ndio tatizo lako
 
Gaga mbona hutaki kuelewa mtego unaoekewa??Maana yake UMTAFUTE KLOROKWINI atakusaidia...tho sikushauri!

...halafu Lizzy nilikuona kwenye sredi ya The Boss https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/129013-msichana-mzuri-mwenye-shosti-mbaya.html unanuia kuiacha tabia mbaya.

khaaaa! huyu Lizyy tangu tudate mara moja amekuwa na mawivu na mimi kweli aisee, halaf anatumia taktik ya ajabu sana. dah!

...he hehe! kaka, hebu kaichungile hiyo sredi ya Ze Boss. Link hapo juu.
:focus:
....sidhani kama Gaga anasumbuliwa na symptoms za MBU 'disease,' sikumbuki kuona sredi yake akilalama hapa
hatamani kula, anasikia kizunguzungu, homa nk, ...acha kuwaandikia wenzako 'prescriptions' ilhali wazima buheri wa afya bana! LOL
 
...halafu Lizzy nilikuona kwenye sredi ya The Boss https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/129013-msichana-mzuri-mwenye-shosti-mbaya.html unanuia kuiacha tabia mbaya.

...he hehe! kaka, hebu kaichungile hiyo sredi ya Ze Boss. Link hapo juu.
:focus:
....sidhani kama Gaga anasumbuliwa na symptoms za MBU 'disease,' sikumbuki kuona sredi yake akilalama hapa
hatamani kula, anasikia kizunguzungu, homa nk, ...acha kuwaandikia wenzako 'prescriptions' ilhali wazima buheri wa afya bana! LOL
Kheeee Kheeee NO COMMENT
 
hali kama hiyo hua ipo san sio wewetu.

1. cha kufanya kwanza usijidanganye kua huna hali kam hiyo
(yaani kubali kua kuna kitu kam hicho kinachokusumbua)
then tafta mahali palipotulia, kaa peke yako, kama unahisi hali ya hasira basi
pandisha hiyo hasira mpaka mwisho(iache ipande hadi ifike mwisho)
au halia kama hiyo ya huzuni uanosema iruhusu huzuni hiyo iguse hisia zako hadi kilelel chake.
hali hii inaweza kusababisha hata kulia japo huwezi kujua sababu ni nini! kama iktokea lia mapaka
utakapoona kua imefika mwisho.

2. fanya aina yoyote ya mazoezi ambayo unaipenda au just yoyote itakayokufanya kupumua kwa haraka.

3. kaa sehem palipotulia, pekeako, vuta pumzi ndani taratiiiiiibu mpaka ufikie kikomo.
then pumua kutoa nje taaraaatiiiibu mpaka uhisi imeisha.
fanya hivyo mara tano n.k
kama vile kuruka kamba, pushups, kukimbia n.k

hizi ni baadhi ya kupunguza hali kama hiyo "emotional ventilation"
nadhani zinaweza sana kukusaidia.
 
...halafu Lizzy nilikuona kwenye sredi ya The Boss https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/129013-msichana-mzuri-mwenye-shosti-mbaya.html unanuia kuiacha tabia mbaya.

...he hehe! kaka, hebu kaichungile hiyo sredi ya Ze Boss. Link hapo juu.
:focus:
....sidhani kama Gaga anasumbuliwa na symptoms za MBU 'disease,' sikumbuki kuona sredi yake akilalama hapa
[I]hatamani kula, anasikia kizunguzungu, homa nk[/I], ...acha kuwaandikia wenzako 'prescriptions' ilhali wazima buheri wa afya bana! LOL

ha ha ha. Prescription inaendelea. kama sio MBU huyo basi nimevuta rekodi ya sred za gaga, je sio yule MBU wa Married But Un........, malizieni bana dikshineri langu limepotea. Wallahi huyu Mbu huyu kiumbe wa ajabu sana huyu lol
 
hali kama hiyo hua ipo san sio wewetu.

1. cha kufanya kwanza usijidanganye kua huna hali kam hiyo
(yaani kubali kua kuna kitu kam hicho kinachokusumbua)
then tafta mahali palipotulia, kaa peke yako, kama unahisi hali ya hasira basi
pandisha hiyo hasira mpaka mwisho(iache ipande hadi ifike mwisho)
au halia kama hiyo ya huzuni uanosema iruhusu huzuni hiyo iguse hisia zako hadi kilelel chake.
hali hii inaweza kusababisha hata kulia japo huwezi kujua sababu ni nini! kama iktokea lia mapaka
utakapoona kua imefika mwisho.

2. fanya aina yoyote ya mazoezi ambayo unaipenda au just yoyote itakayokufanya kupumua kwa haraka.

3. kaa sehem palipotulia, pekeako, vuta pumzi ndani taratiiiiiibu mpaka ufikie kikomo.
then pumua kutoa nje taaraaatiiiibu mpaka uhisi imeisha.
fanya hivyo mara tano n.k
kama vile kuruka kamba, pushups, kukimbia n.k

hizi ni baadhi ya kupunguza hali kama hiyo "emotional ventilation"
nadhani zinaweza sana kukusaidia.
Mhhhhh!! Gud one
 
Duh kweli humu jf ni kila kitu dekshia ushauri huuu embu ngoja nianze kuufatili kwa ukaribu, ila hamuwezi amini mpaka sasa nahisi kama zigo fulani nimelitua hivi kwa kuwaambia nyie humu na kubadilisha mawazo mbarikiwe sana, kloro acha fujo kwani malaria sina bana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ha ha ha. Prescription inaendelea. kama sio MBU huyo basi nimevuta rekodi ya sred za gaga, je sio yule MBU wa Married But Un........, malizieni bana dikshineri langu limepotea. Wallahi huyu Mbu huyu kiumbe wa ajabu sana huyu lol
halafu weweeeeeee??/
 
Mhhhhh!! Gud one

...Umeona ee, Tasia 1 kamwaga darasa la nguvu hapa.
mimi nimeipenda zaidi hiyo

"2. fanya aina yoyote ya mazoezi ambayo unaipenda au just yoyote itakayokufanya kupumua kwa haraka."- TASIA 1

Kwakweli zoezi nilipendalo huniondolea stress kwa haraka sana!
Klorokwini, don't Quote me on this pliz!
 
Mbu you meant.... au forget it lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom