...umekwenda deep! Maisha yanatufundisha ku shove - unsolved problems - away!
The 'best remedy' is to pluck it out, solve and put an end to it!...
Kinyume na hapo tunaendelea kujidanganya kitamalizika chenyewe,...
Circle ikimalizika, stress zinarudi pale pale.
Aiseee imenibidi nicheke tu maana sijawahi sikiaKuna mtu kani PM eti niende rehab, tehetehe yaani nimechekaje? hivi na sie waswahili tunaendaga huko rehab?
Kweli mkuu yaani hapa mimi i am broke kwahiyo nina hasira kweli...umekwenda deep! Maisha yanatufundisha ku shove - unsolved problems - away!
The 'best remedy' is to pluck it out, solve and put an end to it!...
Kinyume na hapo tunaendelea kujidanganya kitamalizika chenyewe,...
Circle ikimalizika, stress zinarudi pale pale.
Kweli mkuu yaani hapa mimi i am broke kwahiyo nina hasira kweli
Aiseee imenibidi nicheke tu maana sijawahi sikia[/QUO
Watu wa majuu bwana mtu akianza kunywa bia kumi kwa siku tayari anapelekwa rehab wakati bongo mtu anakata hata ishirini kila siku na yuko fiti na kazini anaenda. kweli ulaya hamnazo
Yaani we acha tu badala ya kujiona upo ndani ya nyumba unahisi kama umeibeba nyumbaMi hii inanitokeaga sana, ila tiba yangu ktk hilo ni Maombi na kuimba/kusikiliza nyimbo za kuabudu na kumsifu Mungu. Kutulia kabisa manake nikijifanya kuongea ongea naweza nikamjibu mtu ndivyo sivyo. Baada ya muda hali inaondoka na ninaweza kupata jibu sahihi la kwa nn nilikuwa najisikia vile. Pasaka njema Wapendwa.
Utotoni....kilikuwepo, a trauma ..... , bad memory zipo na zitaendelea kuwepo, kwanini maumivu yasijisome nijue nateseka na nini?
mimi nikiwa broke hata simu sipokei...
na kusemeshwa sitaki
Mbu bana! thanx kwa ushauri wako...umekwenda deep! Maisha yanatufundisha ku shove - unsolved problems - away!
The 'best remedy' is to pluck it out, solve and put an end to it!...
Kinyume na hapo tunaendelea kujidanganya kitamalizika chenyewe,...
Circle ikimalizika, stress zinarudi pale pale.
Huwezi amini halafu aliye niabuse alifariki majuzi kwenye msiba badala ya kuhuzunika nilikuwa nafurahi
Unaweza ukasemeshwa ukaishia kusahau matatizo yako yote...angalau kwa muda!
Ahaaa ahaaa kumbe bora mimi dah lolmimi nikiwa broke hata simu sipokei...
na kusemeshwa sitaki
Akikatiza mwenye taarab unamnunia pia? tehetehe