Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
Sema hakuwa na vigezo vya kumfanya aende A level, na sijui nani alimruhusu kufanya mtihani wa A level akiwa na div. four ya 29 maana yake hakuwa na credits za kumwezesha kufanya mtihani wa A level, ilikuwaje, hapa ndio wanajukwaa tunaomba ufafanuzi.

Ututoe wasiwasi wa kubebwa. Na hizo diploma zake za mwaka mmoja mmoja, kweli mwaka mmoja unakuwa darasani na kuandika thesis upate diploma? Du Tanzania ni zaidi ya maajabu mengi ya dunia. Naomba ufafanuzi
 
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.

Wewe umemaliza.., afu katuma mtu aje badala yake kwa kuwa anaogopa maswali,mbona Mnyika alikuja mwenyewe...!!?? ha ha ha haaaa....!!!! wamerusha mawe ilhali nyumba yao ya vioo...!!!
 
Agenda yetu kuu kwa NAPE ni kuhusu ufaulu wake na sio kasomea wapi au kasomea nini:

1. Tunaomba ufaulu wa matokeo yake (Kwa Sekondari pale Nsumba)
2. Ufaulu wake katika masomo ya EGM (Hapo Butimba)
 
wewe ni mmoja wao........

Ha ha ahaaaaaaa unatafuta aibu wewe, kwa taarifa yako nina first class with honor.....na sijasoma BBA ya jioni na wala siajaunga unga. weka ya kwako ya kupewa zawadi ya c...hu....p
 
Heh, mtu una F ya Civics afu unafanya siasa??

Aisee, ngoja nikatafute pepa ya Civics ya mwaka huo nione maswali yalikuwaje.

Kama kuna mtu ana access ya pepa ya civics ya mwaka huo aniwekee tafadhali

Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
 
Atakuwa alisomea ualimu wa shule ya msingi, afu akaunga unga setifiketi mara akaangukia India kusoma digrii
Ujue sasa hivi ukiwa na setifikate 3 ni sawa na digrii moja, kimjinimjini lakini

Afu utachukuaje kombi ya somo ulilopata F, maana matokeo yanasema B/Math alipata F
Ukweli imebidi nisome mara mbili mbili kujiridhisha Butimba TTC,halafu kuna EGM:nono:
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr

Soma tena hiyo post usikurupuke kukosoa!
 
Last edited by a moderator:
Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------

JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
Nape???????? alifanyaje mtihani wa form six wakati sifa ya kufanya mtihani wa form six ni credit tatu za o level na hapo sioni hata credit moja
 
Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.

Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.
 
napata shida kidogo nipeni taarifa kamili kuhusu BUTIMBA TTC na combination EGM maana naona kuna vigugumizi vingi ili kuondoa utata tuleteeni taarifa kamili,
 
Back
Top Bottom