Hii nayo..!

hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?

Mi wale wenye masaburi makubwa makubwa huwa wananiharibia siku kabisa.
 
Back
Top Bottom