Hii nayo..!

hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?
lengo lao ni kuturahisishia mambo, mi wala sipati taabu kufikiria eti ndani yukoje?
kwani kila kitu kinaonekana, wengine mpaka ikulu inaonekana. huwa napenda sana,
nikiona wapo nyuma yangu huwa najitahidi wani overtake, then niendelee
kucheki live movement za.....we acha tu. kwa kweli napenda sana tu wakisuruali
 
we wa wapi unachekesha kwelii , mwanamke fashion hata mtu akiamua kutembea na chupi cha muhimu ni kupendeza tu ndo lengo kuu kama mimi urembo napenda sanaa
 
Lengo la mwanamke kuvaa suruali ni moja tu, Kumvutia mwanaume yeyote yule . Chunguza utaona siku hizi miaka kuanzia 8 hadi 48, ndio wanaopenda kuvaa suruali sana, (in short kutafuta soko-). Wengi walio na umri zaidi ya hapo na wenye wajibu kwa familia zao, hutawaona wkivaa ubazazi huo. na hasa TZ ambayo kila kitu mkumbo wa kuiga bila kutafiti. Someni maandiko ya vitabu vitakatifu kuna sehemu zinazo elezea mavazi aina yeyeto ya kiume yatavaliwa na wanaume tu, alaaniwa yule mwanamke avae mavazi ya kiume kwani maandiko yamemkataza. lakini utandawazi( ama uhuru wa dhambi ya dunia) umewafanya watu wapotee na kutotii agizo hilo. OLE WENU SIKU YA KIAMA, kilamtu na zigo lake.
 
Huko kijijini hukuwaacha eeh!!! Sasa utakoma na utajuta aliekwambia uje mjini nani! Na bado!!!utarudi kwenu kipofu!
 
Mmhh! Co kwamba wote wanaovaa wanavaa kutega wanaume..ni mavaz tu..na kama unaona mjn wanavaa hvo haikupendezi ni vzr ukisepeshe urud kijnn.. Salam za pole zikufikie popote ulipo
 
Back
Top Bottom