Hii nayo kero

mh!Pole rafiki,muhimu ni mawasiliano kati yako na yeye.Kaa nae kwa upendo uongee nae,mweleze impact ya wewe kumkosa usiku,mwambie unatambua sana umuhimu wa prayer na hata mkesha lkn unamuhitaji so, kama ni church once for a time in a week not bad.Uwe unamuandaa kwa kumpa taarifa ya outing za wk end before ili awe anajua mapema kwani ukimshtukiza atakwambia tayari ana ratiba ya mkesha.Make sure nyumbani mna sali kwa pamoja na kusoma Bible as a family,blessings:smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom