Hii nayo imo....

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Katika pita pita zangu nikakutana hayo, tizama picha
 

Attachments

  • 14022011582.jpg
    14022011582.jpg
    188.3 KB · Views: 82
  • 14022011583.jpg
    14022011583.jpg
    186.9 KB · Views: 64
  • 14022011584.jpg
    14022011584.jpg
    180.3 KB · Views: 66
inategemea ilikua mda gani... Kama ilikua mda wa kazi umeshapitta na sasa ni muda wa kupumzika, na pengine nyumbani kwake ni mbali mpaka aende akabadilishe uniform, bora aanzie hapo hapo... Ila kama ni muda wa kazi, then thats a mistake
 
Tatizo ni kuwa yupo na sare za kazi, wale wasio na sare mbona wanatandika muda wa kazi??
 
Kaka huyo jamaa alikuwa akifanya hivyo muda wa kazi na gari ya kazi alikuwa ameipark hapo penmbeni tuu
huoni rangi ya blue hapo na chuma za nyuma
 
Back
Top Bottom