Hii namba ikipigwa kwenye simu yako usipokee 0901901901

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
 
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
<br />
<br />
Tilte ya sred yako so hush kaka, by the way hivi kinachoku-bore wewe unadhani kitam-bore mwngne? People are so distingushed brother!.
 
Even jana walipiga,huwa nakata,air tell nao wanako haka katabia
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
<br />
<br />
 
Dah Even Me Tokea Last Week Napata Msg kuwa Msichana wa Miaka 22 ID Yake kadhaa...Amependa Profile Yangu Kha! ili niongee nae ati Nipige Namba hiyo Sh 1/sek nifurahie Maongezi What is This!!! Hivi Ningekuwa na Mke Si Balaa hilo Tena Ndani oi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom