hii modem ya airtel mbona bado bei ipo juu?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
wazee kama kuna mtu amefanikiwa kununua hizi modem za airtel zinazo nadiwa kila siku kwamba zipo na free internet ya 6month basi anijuze maana huku niliko bado bei mkasi ile mbaya ati!
 
Wapi huko mnauziwa mkasi acha kusema nusu nusu weka na kiasi cha pesa wanachouzia usaidiwe
 
Kwanza Moderm hiyo hawatoi internet bure,ni kwamba kwa kpindi cha miezi sita ya kwanza ukinunua bundle kwa kupitia *154*44# ila ukitumia njia ya zamani yaani kwa kuandika neno Internet na kuisend 15444 nackia zinagoma.na ili upewe bundle unatakiwa ununue angalau 1Gb(kama sijakosea) ndo wao wanakuongezea mb 200,usije ukanunua ukadhani utakuwa unaogelea kwenye unlimited Acces,Watch Out
 
Dah! Kweli wajinga ndo tuliwao.nimeuliza geita na mwanza bei ni sh 55000.sasa sijui kwanini wanatangaza kwa bei hiyo ya elfu 30000.
 
Kwanza Moderm hiyo hawatoi internet bure,ni kwamba kwa kpindi cha miezi sita ya kwanza ukinunua bundle kwa kupitia *154*44# ila ukitumia njia ya zamani yaani kwa kuandika neno Internet na kuisend 15444 nackia zinagoma.na ili upewe bundle unatakiwa ununue angalau 1Gb(kama sijakosea) ndo wao wanakuongezea mb 200,usije ukanunua ukadhani utakuwa unaogelea kwenye unlimited Acces,Watch Out

sante kwa ufafanuz,kweli watch out.
 
bei yake halali ni elfu 30. zaidi ya hapo tena ni faida ya wajanja
 
Dah! Kweli wajinga ndo
tuliwao.nimeuliza geita na mwanza bei ni sh 55000.sasa sijui kwanini
wanatangaza kwa bei hiyo ya elfu 30000.

Dar huku bei ni elfu 30 na hizo za mwanza nadhani wamelangua huku so usafiri plus other things =55000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom