Hii Mifuko ya Hifadhi ya Jamii umefika wakati wa kumjali mteja

Ndugu yangu umeangalia NSSF kuwapa bonus wafanyakazi wote kwa kufanya vizuri na kuvuka malengo waliyojiwekea. Chungulia na PPF pia uone. PPF wafanyakazi wadogo hawana bonus wala bakshishi, wakurugenzi wa PPF ndio wanaofaidi michango yetu. Mishahara yao ni ya kutisha, watu wanawashangaa wabunge? Mkurugenzi PPF anapokea zaidi ya milioni 12 kama mshahara na marupuru kwa mwezi.

Basic salary ...............................................8,000,000
Housing allowance 25% of 8000,000 ...........2,000,000
Pension contribution, 15% of 8M..................1,200,00
Fuel allowance lita 420X2,000.......................840,000
Utilities(umeme, maji etc) aprox....................400,000
Simu ya mkononi USD 230X1700..................399,200
Mlinzi.........................................................150,000


Hapo bado per diem zao ambazo zinazidi wabunge, Tshs 250,000 per day local na USD 500 paer day abroad na hawatulii ofisini.

Mwanachama anayechangia toka Mtibwa Sugar, Mshahara shs 80,000 kwa mwezi, mafao yao kwa miezi sita ya kukata miwa ni shs 18,000X6months Shs 108,000. wakati wakurugenzi wa PPF hupata milioni 200 kila baada ya miaka mitatu.


Maadili yanatakiwa yaanzie wapi?
 
Back
Top Bottom