Hii Meseji Toka TIGO ina maana gani??

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Hawa Tigo sijui vipi, wamenitumia meseji mara ishirini lakini sijailewa. Nikipiga customer care haipokelewi. Naomba kwa anayeielewa anifafanulie. "YOUR DEBITBALANCE_SUBACCOUNT IS NEARLY RUNNING OUT"
 
hakuna kitu kama hicho unatafutwa ili uibiwe, mie juzi niliweka pesa kwenye Iphone nikajiunga na internet siku kwa sh 500, kesho yake wakaniunga tena bila kuwambia waniungisha mara nne mpaka hela ikaisha ndipo wakaacha, wanaweza kukutega hata kwa nyimbo ili ungie mkenge, kwa kweli sasa hivi wameanza wizi wa haina nyingi.
 
Ndo uzuri wa Tanzania, vyombo vya kumonitor haya makampuni vimelala nziii.! Nani analinda haki ya mteja?? Hadi watu walalamike saana ndo utasikia eti tcra wanapiga mkwara, this z bullsht
 
hakuna kitu kama hicho unatafutwa ili uibiwe, mie juzi niliweka pesa kwenye Iphone nikajiunga na internet siku kwa sh 500, kesho yake wakaniunga tena bila kuwambia waniungisha mara nne mpaka hela ikaisha ndipo wakaacha, wanaweza kukutega hata kwa nyimbo ili ungie mkenge, kwa kweli sasa hivi wameanza wizi wa haina nyingi.
Nimetupilia mbali li-sim card lao, inbox imejaa mimeseji yao isiyo na kichwa wala miguu!
 
Back
Top Bottom