Hii maneno niiweke fungu gani ? Ni kudhalilishwa/nyanyaso/vituko au hakuna jibu sahihi ?

Hapa kuna mambo yafuatayo;mosi-tatizo ni la mkeo,yaani iwe iwavyo mwanamke yoyote ambae ni mchumba/girlfriend/mke wa mtu lazima ajiheshimu anapofanya lolote,namna alivyokatika sio sahihi hata kama hakunachoendelea baina yao,sio kila jambo anafanyiwa kila mtu au kila mahali.Pili-wewe ni tatizo,kwanini unachukulia mambo kinegative sana?Kwanini usifikirie kuwa yale mauno alikua anakuonesha wewe badala ya mdau japokua hakutumia njia sahihi?

EIYER! Nakukubali na details zako zinaonesha umesomea LAW kama sivyo ongezea C.V hiyo, may b siku za badae society itanufaika nawe!
 
Back
Top Bottom