Hii makitu wakubwa sio siri tena ! Siri ishasanuka==> Rock Cirry !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wadau,
Kwa wale ambao ni wenyeji hapa Mwz mjini, napazungumzia pale mtaa wa Uhuru/Liberty jirani na Msikiti wa waarabu (Ibaadh)
Eneo ambalo ni maarufu wanapopatikana wadada wa kazi za muda maarufu (deywaka).
Kwa wale members wenzangu msiokua na uenyeji na mji huu kwa ufupi eneo tajwa hapo juu lina zaidi ya miaka 20 sasa tangu liwe ni kijiwe/kituo ambacho kila uchao kuanzia saa 1 asubuhi hukusanyika wadada/wamama wa marika tofautitofauti.
Umaarufu wa madeywaka hawa ulianza taratibu siku za nyuma na sasa kituo kimeshamiri.
Uelekeo wa hapa hua ni wa kupatana kazi za kutwa aidha pia kwa masaa.
Siku 1 mimi nilijaribu kumtongoza mmoja kwa ajira ya monthly, bei aliyonipa abt salary sikurudia kumuuliza, alinipa amount nafikiri inazidi salary ya ofisi .
Baadae nikaja kusikia hua hawahitaji ajira ya mwezi kwa sababu maalumu.
Siku za hivi karibuni napokua napita eneo hilo nikawa naona mabadiliko , mfano ongezo la wadada/wasichana tena waliojipura sana, huku idadi ya wamama ikipungua.
Majuzi nikiwa eneo hilo kwenye duka lililo opp, na hapo nikaona gari ya adabu imefunga breki hapo ndani kuna wanaume wawili watu wazima (wale wenye status za Boss-kitambi - meneja)
Plate No ya gari STK ....
Wazee wale wakawa wanazungusha macho kuanzia mwanzo wa ubaraza hadi mwisho walipokua wamejipanga wadada.
Kilichonistua wamama wawili (watu wazima) walikua wa kwanza kufika eneo lilipo gari lao, lakini wakawakataa, nikaona mzee mmoja anaita waliokua kibarazani huku akionesha alama ya vidole viwili, wakanyanyuka wadada wawili waliokua wako full- mparo na walipofika garini sikuona cha burgainin' wala nini , walifika na kupanda na ndinga ikasepa.
Wale akinamama waliopigwa chini wakiwa bado wameseelea wakibung'aabung'aa karibu na nilipokua nimesimama ndiyo nikawaanzishia dodoso, mimi tayari nikiwa na data zisizo rasmi kua eneo hilo limekua na umaarufu wa biashara ya ngono za short time, nikaanza kuwaambia nyie mnaonekana mna bei kubwa ndiyo maana mmeikosa hiyo deal.
Ndipo akina mama wale walipofunguka kwa kuniambia wale wazee hawakua wanataka deywaka wa kazi za home , bali deywaka wa kitandani.
Ieleweke deywaka hawa wengi hupatanwa kwa kazi za home kama kufua, kuosha vyombo, usafi n . K.
Wamama wale wakanieleza kijiwe kimekua tite baada ya idadi ya wasichana kuongezeka siku baada ya siku, imetulazimu hata sisi tufanye kazi yoyote "mteja akija kwa ngono twende , akija kwa kazi twende" na wakaniambia mbona hapa pameshazoeleeka sana kama ni Ohio bubu? Labda wewe tu ndiyo ulikua hupajui.
Ujumbe kwenu maafisa mnaotumia magari ya Jeikei kwendea ngononi msidhani hamjatambulika siri iko nje .
Tofauti ya danguro hili la ngono na mengine ni mbili.
1. Wakati mengine hufanya shghl zake usiku, hapa ni mchana.
2. Kwingine huvaa taswira ya soko la ngono (kama Ohio) hapa pamevaa marsk ya vibarua au ajira za muda mfupi.
 
Hahahaaaaa JG wewe uko na Husninyo huko ulienda kutafuta nini?
Dah hata honeymoon haijaisha aisee......
Dah kuna jamaa yangu anakuja mwanza kesho inabidi umpige stop kwenda hapo si pazuri kabisaaaaaa
Otherwise Thank for Information
 
Sijawahi fika Rock Cirry, cku nikitimba tuu brek ya kwanza hapo nione huu msururu wa mabinti.
 
Inawezekana hizi ni miongoni mwa zile ajira 1,000,000 alizoahidi kutengeneza mkuu wetu wa kaya. Na STK ilienda kufanya assessment ya utendaji wa kazi.
 
Hahahaaaaa JG wewe uko na Husninyo huko ulienda kutafuta nini?
Dah hata honeymoon haijaisha aisee......
Dah kuna jamaa yangu anakuja mwanza kesho inabidi umpige stop kwenda hapo si pazuri kabisaaaaaa
Otherwise Thank for Information

Niko huku mkuu kikazi zaidi, alafu unajua nini B52 ukimtaja Mamaaa Husny by Suddenly moyo waniripuka ppaaa! Ntoto ananipa mavitu yalioadimika!
mavitu nadra !
mavitu haba!
mavitu ambayo hayajapita Ewura, wala Sumatra kuchezewachezewa !
Sasa hebu piga msele kwenye Sredi ya Koku ya "Babybirth" kuna ujumbe nimekuachia kule ufanyie kazi .
 
Niko huku mkuu kikazi zaidi, alafu unajua nini B52 ukimtaja Mamaaa Husny by Suddenly moyo waniripuka ppaaa! Ntoto ananipa mavitu yalioadimika!
mavitu nadra !
mavitu haba!
mavitu ambayo hayajapita Ewura, wala Sumatra kuchezewachezewa !
Sasa hebu piga msele kwenye Sredi ya Koku ya "Babybirth" kuna ujumbe nimekuachia kule ufanyie kazi .
Hahahaaa kaka naona unampamba wife hadi raha..
Ngoja nipite kwa Koku nimpe hongera zake faster then nakuja
 
Wamedaka kazi za mabinti wa omba omba wa makoloboi,manake mabinti wale ukikumbana nao mitaa ya deluxi na salma cone naona imeanza style mpya
 
Back
Top Bottom