Hii maalum kwa wajasiria mali wa perfumes,saa na mawani.

Arkad

Member
Jan 16, 2011
25
9
Habari wadau..
perfumes,saa na mawani kwa bei za jumla . Aina yeyote ya bidhaa za makundi hayo zipo..order ndogo pieces 50 bei ya piece moja haizidi $ 20..order ndogo ya chini pieces 50 hatupokei, order ikizidi kuwa kubwa bei inapungua kwa piece moja..Ukiitaji container ya bidhaa unapata pia...Bidhaa originals.


Arkad
arkad690@yahoo.co.uk
Moscow, Russia.
 
brand zipi,au ndo feki za outside china.kwani siku hizi wachina wanafungua viwanda in low labour cost countries,russia,ukrains,poland etc
 
good post. ebwana tusaidie nasisi tunaohitaji kuuza vifaa vya ujenzi na umme. nipo mikoani kuna demand kubwa.
 
Back
Top Bottom