Hii leo tena

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Leo ni jumapili nyingine katika mwaka huu. Ni siku nyingine kwa wakristu kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa baraka na ulinzi aliowajalia bila kusahau afya njema.Ni siku ya kuwaonea huruma na kutembelea wagonjwa,wafungwa n.k kwani hujafa hujaumbika.

Nawatakieni jumapili njema yenye furaha na amani MWENYEZI MUNGU IWE PAMOJA NANYI
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom