Hii Lebo Huwa Inatolewa Au Inabaki..??

hivi zile lebo za jeans kiunoni kwa nyuma huwa zinatolewa!? mfano levis, lee!! to me it is the same coz wote ni madesigner!
 
haitolewi inaonesha brand ya suti. People should know kama ni gucci, loui v, showing status
 
nan kakupa hii picha au umejipiga. kuhusu lebo mi sijui ila kwanin wameiweka mkononi wakat jina la dizaina lipo ndan ya kot.
 
hivi zile lebo za jeans kiunoni kwa nyuma huwa zinatolewa!? mfano levis, lee!! to me it is the same coz wote ni madesigner!

tell em...
tunaangalia vitu kwa kukurupuka aise...
hiyo label hata ilivyowekwa sio yakutolewa...
wameshazoea zile label za kuning'inia km mizinga ya nyuki kule tabora...
mm natinga wala haionekani kama inatoka...lol
 
hivi kwanza inashonewa kwa style gani......?.....nisije nikatoa nikawa ndio nimeharibu kabisa........
 
Yaani ninunue suti yangu halafu ninunue tena topazi ya kutolea lebo?kisa wavaa suti za mitumba watachonga,hakitolewi kitu hapo kwanza ikiwa na hiyo lebo ndio inapendeza.
 
nakumbuka wkt nagraduate nilinunua kitu cha mtumba elfu 25 nikaenda kukipiga amendment nkaweka na lebo ya piere caldini ka kitu cha shopo vile.
 
..kwa maana hiyo inamsaidia mnunuaji atakapofika dukani kutambua designer wa nguo husika na baada ya hapo utakapoendelea kuiacha ni kufanya tangazo kwa watu wengine bila malipo. OK!

Ni matangazo mangapi mnavaa bila malipo kwenye tshirt na jeans?
 
Back
Top Bottom