Hii Lebo Huwa Inatolewa Au Inabaki..??

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
photo.jpg

Wengi huwa wanasema haitolewi, wengine wanasema kuiacha huwa ni ushamba so which is which....?
 
Nakubaliana na hao wanaosema kuiacha ni ushamba, kama inatoka bora itolewe!
 
Hiyo lebo huwa ina wachwa ili watu wajuwe kuwa umevaa something special. Lakini ukitaka na kama ndiyo mavazi yako ya kawaida toa. Si umeinunuwa mwenyewe? Amuwa mwenyewe.
 
nadhani inategemea na mazoea ya mahala ulipo, ila ukiwa bongo ukaiacha hivyo usiombe ukutane na watu unaotaniana nao maana unaweza toka kwenye shughuli ili ukaitoe.
 
hakuna ushamba hapo...
iyo ni mwake ibaki hapo...
coz sio kama lebo zingne za kwenye majinsi ya kariakoo...
iyo imeshonewa fresh tuu...
 
Bora kutoa suruali
Watu hawatakumbuka hata kama una lebo? au koti? Umetoa au hujatoa?
 
Habari ya kusema inaachwa ili kuonesha jina la designer ndo ushamba wenyewe.Nilipigwa butwaa siku moja nilipomwona aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani akiwa madarakani anatembea na suti yenye milebo hiyo.
 
mtu hatakiwi kumjua designer wako kirahisi hivyo....kwanza aangalie ushonaji,pili material ya pamba uliyogonga na hapo sasa akishindwa amtafute designer gani kasimamia show ya mikato yako!!!ndo aanze kutafuta label tena kwa lens kama ni katika kifungo au ndani ya!!!!siyo mlabel mkubwa unauachia kama bilboard!.........huu ni ushamba na kukwazana kwani mimi naweza nisiwe namkubali designer uliyemvaa!
 
Bora kutoa suruali
Watu hawatakumbuka hata kama una lebo? au koti? Umetoa au hujatoa?
Sio mimi bana Kongs ila kulikuwa kuna mjadala kuhusiana na hii ishu ndio ikabidi nimpige huyo jamaa picha
 
Back
Top Bottom