Hii lazima kila mmoja asome

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
(1)GREAT MINDS DISCUSS IDEAS

(2)AVERAGE MINDS DISCUSS EVENTS

(3)SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE

Watu wa aina zote zilizopo hapo juu wapo kwenye jamii na humu jamvini. Mimi ningependa wote tuwe kwenye (1). Hebu jiangalie kama haupo hapo kwenye (1), jitahidi uelekee hapo ili uendane na hadhi ya jukwaa letu.
 
ST. Joseph College of Engineering
 
Hakuna jamii ya ma-intellectual 100% Mkuu. Kwenye jamii kuna no. 1-3, sasa hapo utafanyaje?
 
Hakuna jamii ya ma-intellectual 100% Mkuu. Kwenye jamii kuna no. 1-3, sasa hapo utafanyaje?

Matabaka yote ni muhimu lakini kunatakiwa kuwe na uwiano mzuri, mafano kama tabaka la kwanza ni wachache mambo ka research hayata fanyika ipasavyo kwahiyo matatizo mbalimbali hayawezi kutatuliwa.

Mfano mzuri ni Tanzania ambapo asilimia kubwa ya raia hawana elimu ya uraia, kwahiyo hawajui haki zao, wengi hawaijui hata katiba ya nchi ndiyo maana watu wengi hawakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kuchaguliwa na raisi kwabla ya uchaguzi wa octoba 2010.

Sasa kama kundi hili lingekuwa kubwa lingehoji tatizo la katiba na serikali isinge kuwa na ubavu wa kuzuia hiyo hoja kwasababu asilimia kubwa ya wananchi imepevuka. Kumbuka yale maneno mtaji wa...ni ujinga wa watanzania.

Vile vile tabaka la chini linahitajika kwasababu kunashuguli ambazo hazihitaji kuumiza kichwa sasa nani atafaya kama wote ni intellectual.
 
Back
Top Bottom