Hii kwa wana CHUO ni sahihi...

May 19, 2011
62
5
Kila mwaka tunalia tunataka kuongezewa hela..tena tunagoma kwa nguvu zote..lakini kwa miaka minne sasa hela ni kama imeganda hivi na maisha yamepanda,....Hivi ni ipi bora kuandamana waongeze hela kwa ajili yetu tuu au kugoma Wasipandishe bei ya mahitaji mengine ili tufaidi wote mpaka wazazi nyumbani,...Kiupande wangu saa nyingine nakandia hii migomo sABABU NAONA kama imekaa kiubnafsi hivi,,,halafu mbaya zaidi kila tukigoma finalist wanapinga sababu wanaona tunawaharibia mipango(UBINAFSI)...Na siku si nyingi naona patachimbika Tunataka elfu 10 per day,,,lakini je ni kweli itatosha na maisha yanazidi panda,..kwanini tusiwazuie wakubwa wasipandishe sukari na mahitaji muhimu.nafikiri hii itakuwa nzuri zaidi,..
 
Ni wazo zuri sana. Cha msingi ni mipango, taratibu na kanuni muhimu za kufanya huu mchakato mzima wa kufanikisha hili suala kwa ujumla wako. Tuko pamoja. Big up!
 
Kila mwaka tunalia tunataka kuongezewa hela..
....Hivi ni ipi bora kuandamana waongeze hela kwa ajili yetu tuu au kugoma Wasipandishe bei ya mahitaji mengine ili tufaidi wote mpaka wazazi nyumbani,...
..kwanini tusiwazuie wakubwa wasipandishe sukari na mahitaji muhimu.nafikiri hii itakuwa nzuri zaidi,..

Unajua nn kinachodetermine price of commodities sokoni?..
 
natofautiana mawazo na ww ndugu.......napata shida kuamini wewe ni finalist kama mtazamo wako bado uko kwenye mkopo serikali inatoa na swala zima la kuibana eti isipandishe sukari n.k anzia hapa kufikiri PENGINE UTAFIKA MAHALI kuibana serikali itengeneze mazingira mazuri ya kila mtanzania kujitegemea kiuchumi na kuwa na kipato halali ili kuweza kumudu hali ya maisha pamoja na kusomesha vijana wetu........its high tym vijana kuanza kubadilika,kuendelea kuamini kwenye mikopo ya elimu ni kuendelea kuipa serikali mwanya mwingine wa kula hela,KUENDELEA KUWAUMIZA WALIPA KODI PAMOJA NA BABA AKO NA MAMA AKO,kuendelea kuwa na matumizi mabaya ya fedha za uma maana asilimia 70 ya wanaokopa hawalipi,
HTML:
Tunataka elfu 10 per day
tunataka......za kwako????uliziweka????
 
naungana na wewe better mikopo ibaki science na ualimu tu
 
Back
Top Bottom