Hii kwa vijana wote tanzania

Mar 25, 2012
38
12
Vijana maisha tunao ishi sasa hapa tanzania siyo kusudi la mweyezi mungu alieiumba nchi yetu,maana mungu ametupa vitu vingi kiasi kwamba nchi nyengine zinatamani kuwa na mali kama zilizopo hapa tz,lakini maisha ya vijana walio wengi hapa tz wamechoka sana maana mifumo tulionao siyo lafiki kwa vijana katika upande wa ajira na upande wa biashara pia sasa ili kuokoa haya mateso tanao pata mashuleni,vyuoni,sokoni,mitani ni lazima tutafakari namna ya kubadilisha serikali,mfano ukiona memory card ina virus dawa ni kuformat memory zima na siyo kuscan,maana ukiscan virus huwawanajificha,vijana tufanye mabadiliko ilituwaonyeshe walio sema watatawala milele kuwa haiwezekani.
 
vijana wengi tumeliona hilo,pia tuendelee kuongea na wazaz wetu ili watuunge mkono!mabadiliko ni lazma!
 
Sasa hivi ni kampeni nyumba kwa nyumba mtu na mtu kila mtu ahakikishe ndugu zake wote wanawakataa majambazi kina wasira
 
kubadili mfumo inawezekana ila tatizo hata walio kwenye mfumo wengi wanatumiwa walio na master plan ya mfumo wa inyonyaji ni wachache sana..kinachotakiwa ni kuwatambua hawa wachache ili mabadiliko yatakapokuja wasije wakajipenyeza kwenye mfumo mpya
 
Vijana maisha tunao ishi sasa hapa tanzania siyo kusudi la mweyezi mungu alieiumba nchi yetu,maana mungu ametupa vitu vingi kiasi kwamba nchi nyengine zinatamani kuwa na mali kama zilizopo hapa tz,lakini maisha ya vijana walio wengi hapa tz wamechoka sana maana mifumo tulionao siyo lafiki kwa vijana katika upande wa ajira na upande wa biashara pia sasa ili kuokoa haya mateso tanao pata mashuleni,vyuoni,sokoni,mitani ni lazima tutafakari namna ya kubadilisha serikali,mfano ukiona memory card ina virus dawa ni kuformat memory zima na siyo kuscan,maana ukiscan virus huwawanajificha,vijana tufanye mabadiliko ilituwaonyeshe walio sema watatawala milele kuwa haiwezekani.

nimekusoma mkuu,
ila trust me vijana wengi hawana kadi yakupigia kura, kwanza 2kumbushane kujiandikisha, mengine yatafuata.....
Pipoooooooooz.....
 
Vijana maisha tunao ishi sasa hapa tanzania siyo kusudi la mweyezi mungu alieiumba nchi yetu,maana mungu ametupa vitu vingi kiasi kwamba nchi nyengine zinatamani kuwa na mali kama zilizopo hapa tz,lakini maisha ya vijana walio wengi hapa tz wamechoka sana maana mifumo tulionao siyo lafiki kwa vijana katika upande wa ajira na upande wa biashara pia sasa ili kuokoa haya mateso tanao pata mashuleni,vyuoni,sokoni,mitani ni lazima tutafakari namna ya kubadilisha serikali,mfano ukiona memory card ina virus dawa ni kuformat memory zima na siyo kuscan,maana ukiscan virus huwawanajificha,vijana tufanye mabadiliko ilituwaonyeshe walio sema watatawala milele kuwa haiwezekani.

Ok say tupo mkutanoni tunapanga sasa hiyo "formating"

1. Tunaanzia wapi na kuishia wapi vijana sisi katika lengo hilo??
2. Priority ni nini wakati wa formating na baada ya kupata format mpya????
3. Hii ni ajenda ya vijana au tunadandia ajenda ya kundi jingine???? Is this our very own mental child????
4. Je vijana wote tunahitaji moja na sawa kwa kipindi kimoja???
5. Nani haswa anatuzuia kufikia malengo yetu....kama yapo na je ni ya pamoja????

Tuanze na hoja hizi kabla hatujafungua engine kwa lengo la overhauling halafu tukaja kumtafuta kijana mwingine, mtu wa makamo au mzee tena wa kutusaidia kufunga upya au tukaja kuhitajika kukunua nyingine tukakosa hiyo pesa ya kununua mpya
 
Back
Top Bottom