Hii kodi ni kiboko haswa!!

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Gross income ya mshahara wangu kwa mwaka ni 9200000.00 bila makato ya NSSF, BIMA, kurejesha mkopo wa elimu ya juu n.k; kodi yangu kwa mwezi nakatwa 115,000.00 jumla 1380000.00. Mfanyabiashara mweny kipato cha mil 5 hadi 9( yaani faida) makadirio ya kodi yake kwa mwaka ni 90000.00( labda kama imebadilika hivi majuzi). Kutokana na mahesabu hayo naona sitendewi haki, nimeamua kuanzisha biashara, naacha kazi kwa jakaya.
 
gross pay 3,010,317.46
nssf contr. 301,031.75
taxable amount 2,709,285.71
tax
709,285.71
net pay 2,000,000.00

 
Tatizo hawa TRA wanashindwa kubuni njia ya kukusanya kodi kutoka kwenye kila aina ya biashara. Wao wanahangaika na vinywaji, sigara na magari tu, biashara zingine sijui kama zinaeleweka.
 
Back
Top Bottom