Hii kitu ndio iliyoharibu akili na uadilifu wa Magufuli.

KIVP Hujui ama?? kauli yake umeisikia kuhusu wakazi wa kigamboni?? ngoja niku megee hii status niliyo icopy kwa sudi mnete FB

"

Sisi wakazi wa Kigamboni, tuliwahi kupoteza ndugu na marafiki kwa mitumbwi, tumeahidiwa daraja tangu miaka ya 70, hali ngumu mpaka wingine waafikiria kulitangaza eneo hilo kuwa taifa lingine kabisa sasa leo inakuwa "Na atakayeshindwa kulipa nauli mpya Dar- Kigamboni na apige mbizi au azunguke Kongowe"

Shenz Type



hiyo shenzi hapo nimeongezea kutia nakshi!!

duhhhh hii balaa sasa..
hiyo sentensi ya mwisho imeniacha hoi dahh
 
Back
Top Bottom