Hii kitu ndio iliyoharibu akili na uadilifu wa Magufuli.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
00.jpg
 
Kivipi?!!

KIVP Hujui ama?? kauli yake umeisikia kuhusu wakazi wa kigamboni?? ngoja niku megee hii status niliyo icopy kwa sudi mnete FB

"

[h=6]Sisi wakazi wa Kigamboni, tuliwahi kupoteza ndugu na marafiki kwa mitumbwi, tumeahidiwa daraja tangu miaka ya 70, hali ngumu mpaka wingine waafikiria kulitangaza eneo hilo kuwa taifa lingine kabisa sasa leo inakuwa "Na atakayeshindwa kulipa nauli mpya Dar- Kigamboni na apige mbizi au azunguke Kongowe"

Shenz Type
[/h]
hiyo shenzi hapo nimeongezea kutia nakshi!!
 
Duu asante kwa kunijuza. Inawezekana hicho kikombe kilikuwa na traces za kimpumu.
 
alitibiwa lakini ugonjwa wake umerudi. wamrudishe kwa babu apate kikombe. mia
 
namuona paparazi Nova amejipinda kweli kweli kuweza kuipata taswira ya MAGU FULL akigonga kikombe:photo:
 
Mi nawashangaa mnakomb na mia mbili,mbona wabunge walivyojiongezea posho kuwa 200,000 hamkung'aka?200 na 200,000 ipi kubwa?wabunge nao wa dar wanachachamaa eti kwa 200 wakati watu wanakufa na mafuriko,mtu wa mbezi kimara hadi afike posta anatumia tsh ngapi?acheni ujinga,kweli kama huna 200
nenda shamba kalime,vocha mnanunua sh ngapi kuwasiliana mambo ya kijinga mbona hamlalamiki?
 
huyo alisha haribu kichwa haangalii athari ya kitu bali idadi ya vitu kama samaki,barabara anajua zipo ngapi tanzania,mipaka yake hadi nyumba za serikali
 
Mtanyweshwa mpaka mikojo yenu et kisa dawa! Okoken.... Ili mpate tiba makin kutoka kwa kristo!
 
Shauri zenu mliogonga kikombe,mimi nilimsindikiza mtu na nilikataa kunywa
 
Back
Top Bottom