Hebu tuambizane wazi jamani, watu wa makamo na wazee HATA VIJANA, hivi kondomu mnazitumia, tuseme tu wazi mmoja mmoja, mimi kusema kweli siwezi kutumia kondomu kabisaaa, tena siwezi kuona raha ndiyo maana niilioa MAPEMA! WEWE JE? na nyie wanawake?
Kama je mmoja wao sio mwaminifu, unashauri awe anamkula mkewe kwa kutumia kondom?Heri yako na hakikisha wote hawawili ni waaminifu kwenye ndoa yenu. Kwa wale wasiojikinga mkidaka ukimwi na mauti yakiwakuta tumechoka kusikia uwongo ooo kafa na kansa, kisukari mara ooo taifodi. Jueni myatendayo gizani yatakuja funuka peupe.
Kama je mmoja wao sio mwaminifu, unashauri awe anamkula mkewe kwa kutumia kondom?
kama mkeo hajatulia au wewe mwenyewe haujatulia ni heri umege kwa mpira ili usijemletea mwenzi wako matatizo...kumega kwa kondomu mbona kumetulia tu...Kama je mmoja wao sio mwaminifu, unashauri awe anamkula mkewe kwa kutumia kondom?
kweli kabisa!mim nitatumiaje kondom kwa waifu bana!dahmsema kweli mpenzi wa MUNGU, watu wanaongea kama wanaharakati sana wakati hakuna kitu!
I dont believe in this stuff, not at all!
Nilijaribishaga mwanzoni kama kuwa inquinsitive tu, but i havent liked them since!
I better do something else than condom.
mimi huwa situmii[/QUOTE]
ENHEEEEEEEEE!,
KWA KINA ELIZAAAZZZ, VP??
kwote kwote huwa situmii!i dn't believe in condomzmimi huwa situmii[/QUOTE]
ENHEEEEEEEEE!,
KWA KINA ELIZAAAZZZ, VP??