Hii kitu imenishinda kabisa naomba Msaada

Primitive

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
222
45
Nataka kubadilisha ID, nimejaribu nimeshindwa na kurejista ID nyingine naona si vizuri! ID nayotumia imejulikana! Msaada please!
 
PM Mods kwa ombi lako, la kubadili ID toka hiyo ya zamani kwa kuitaja halafu ID mpya. Ni jambo kama la masaa kadhaa ila usijekuwa fungua ID kwakuwa kubadili inawezekana. Utaelewa wala usiwe na wasiwasi fuata maelekezo kuna wana jf wengi wanabadili. Kila la heri!!
 
@ ID yako imejulikana?!, fafanua plz, inamaana unaogopa nini ukijulikana kuwa wewe Lusinde, mbunge wa mtera ndo mwenye ID hiyo? Sijaelewa wasiwasi wako ni nini. Ciao
 
Nataka kubadilisha ID, nimejaribu nimeshindwa na kurejista ID nyingine naona si vizuri! ID nayotumia imejulikana! Msaada please!

ukijiamini, kujulikana si kitu lakini kama mambo yako mzobemzobe,bola ukatake cover mapema. fanya hivi, create new akaunt kwanza ya e mail, baada ya hapo ndipo taratibu nyingine za kujiunga JF zifuate kwa id unayoitaka. e mail moja kama sijakosea haiwezi kutumika kwenye id mbili
 
Siyo kweli, e-mail moja yaweza kuwa na infinity # of ID's, JF haibanii mtu
ukijiamini, kujulikana si kitu lakini kama mambo yako mzobemzobe,bola ukatake cover mapema. fanya hivi, create new akaunt kwanza ya e mail, baada ya hapo ndipo taratibu nyingine za kujiunga JF zifuate kwa id unayoitaka. e mail moja kama sijakosea haiwezi kutumika kwenye id mbili
 
PM Mods kwa ombi lako, la kubadili ID toka hiyo ya zamani kwa kuitaja halafu ID mpya. Ni jambo kama la masaa kadhaa ila usijekuwa fungua ID kwakuwa kubadili inawezekana. Utaelewa wala usiwe na wasiwasi fuata maelekezo kuna wana jf wengi wanabadili. Kila la heri!!

Thanx a lot man!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom