Hii kitu balaa ni Turbo charge!

Hakuna kitu cha ajabu hapo, halafu pozi aliloweka kwenye sura yake ni kama vile amebanwa na haja kubwa na ndogo kwa mkupuo!
 
attachment.php

Mbona sura kama yuko kwenye worry, au kachoka kuinoa hicho kifua!
 
wa kawaida saaaana tu,ila ukipenda boga penda na uwa lake au ...............................................................ndani mkakasi.
 
Aah!wapi kaka Henge, kitu na box hicho...anapatikana wapi mkuu, unayo picha nyingine akiwa amegeukia kwa mbele na miguu wazi? turushie tupoze machungu ya safari za mkulu, tusahau mambo ya uchaguzi n.k
Hakuna kitu hapo kaka.
 
mmh ngoja nilete ya kwangu tena nikiwa nimevaa vitenge muone mtakavyodata.maana sihitaji kuvaa nusu uchi ili nivutie,nimeumbwa nikaumbika ati zaid ya huyo...!

Tuletee na sie tule kwa macho........., ili tufanye comparison...!
 
mwanamke mzuri anaonekana vyema in diferent styles. Huyu mdada anaonekana hana mvuto kabisa maana avyokaa akajibinua anaonekana kituko aliposimama ndiyo usiseme kabisa hamna kitu hapo. Kama kweli analipa mwambie avae gauni refu lisilobana tutathmini upya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom