Mihogo ya kuchoma bado inauzwa Dar es Salaam?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
Hii Kitu nimekula miaka 40 iliyopita wakati nilikuwa ninakwenda shule Mjini hapo Dares-salaam mpaka leo bado wanaichoma hapo mjini jamani nauliza?
Sukuma Siku mbele.jpg

Sukuma siku mbele.... Udenda unanitoka nime i miss siku nyingi jamani.................................
 
Acha uswahili wewe, inachomwa sana na itachomwa hadi mashamba yageuzwe kuwa viwanja
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Kaka ukipata hiyo kwa mtindi hutaachana nayo milele!
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:
 
Duuuh,ukienda coco beach nasikia ndio kwao,ipo ya kila design. Sasa hiyo chuma ilivyo na kutu ndio raha yake nasikia.Uswazi raha!
 
Naizimia sana hiyo mavitu,mahindi ya kuchoma na mihogo either ya kuchoma,deep fried,ama ya kuchemsha/kupika na nazi!mmmh!yum yum!mkuu huko ugiriki haipatikani?huku wamexicana wanayo na huwa naenda kuinunuwa sometimes,huku hadi viazi vitamu kwa san tu!
 
mkuu jmushi1 nasikia hiyo Biashara ya Mahindi na Mihogo ya Kuchoma wameiingilia sana Wachina ndio wauza wakuu Je ni Kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo chenza tu ndio huwa na msimu lakini Mahindi ni hayana msimu yanauzwa kila day.... Nilikuwa nala hadi meno yakawa yananuma nikapunguza
 
Back
Top Bottom