Hii katuni ya Kikwete vipi?

Akisafiri deogratius munishi,mbowe au slaa mnachekelea kweli.mbona juzi lema alienda kupiga picha ulaya mliona ni mjanja leo rais anaenda kuweka mambo ya uchumi sawa mnachonga
 
Kuna mtu kaniambia jana kapiga birthday yake pale New York

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ombaomba asitembee ataishi vp? Li-Obama mpaka term ya kwanza inaisha halijatia mguu Kenya wala nn. Nikidhan mpaka leo Wajaluo wanashangaa. Urais ni taasisi Marekani, siyo Bongo. Mambo ya kuwakilishwa sijui na PM, Waziri wa mambo ya nje, Balozi nk, ni haba sana.
 
hata akiona sidhani kama huyu rahis atabadilika,maana si rais tena bali ashakuwa rahisi ndo maana amerahisishwa hadi kwa kupewa zawadi ya jezi tena jezi yenyewe ya reserve.
 
Ombaomba asitembee ataishi vp? Li-Obama mpaka term ya kwanza inaisha halijatia mguu Kenya wala nn. Nikidhan mpaka leo Wajaluo wanashangaa. Urais ni taasisi Marekani, siyo Bongo. Mambo ya kuwakilishwa sijui na PM, Waziri wa mambo ya nje, Balozi nk, ni haba sana.

jina lako linafanana na coment yako
 
du mahospitalini rais wetu huyu hafiki mimi naona wamarekani na wakanada ni wapiga kura watanzania labda katiba ijayo ndivyo isemavyo maana kila kukicha rais yupo mamtoni
 
Kipanya amenikumbusha juzi jumapili nilikuwa naangalia stat TV, kipindi kilikuwa kinaishia, lakini wasanii walitengeneza katuzi na wimbo "Bwana nipe pesa wananchi wana njaa na kiongozi wao anapenda kutangatanga hata majirani wamechoka kumuona wa wakusema fungeni milango anakuja".
 
tamaaaa yangu ni kuchangia jambo ila kwa kweli Jk hapana anongoza ktk ulimwengu mwingine wenye wadudu na wala si watu na inapotekea mdudu kakua na kuwa mwerefu baaaaaaaaaaaaasiiiiiiii anaondolewa kwenye reli yake hivyo mm sipo ila karibuni sana Kenya japokuwa nao si wema saaaana
 
Back
Top Bottom