nadhani mheshimiwa akistaafu katika vitu atakavyovimisi sana ni safari.
hii nikubwa kuliko...
Huyu rais hawapendi watu wa mkoa huo asilani, hata kuwapa huo uwaziri watu wa huko ni danganya toto tu!!
Anasafiri sana huku akijua hakuna maafisa wa ngazi za juu jeshini mwenye uchungu na nchi yao. Kama jeshi lina maafisa wenye kuipenda nchi yao, basi kikwete anastahili kupinduliwa. Sijui ntapingwa ban?
JK anatuaibisha sana, hana mashiko. jamaa hailewi wala hasikii. inawezekana hana nyumba nzuri bongo au bado ikulu inakarabatiwa nn?
Mbeya kaja Huku Mara mbili tokea awe Rais lakini USA kaenda Mara 15 inaelekea mbeya ni mbali sana kuliko USA!!!!
nadhani mheshimiwa akistaafu katika vitu atakavyovimisi sana ni safari.