Hii katuni ya Kikwete vipi?

Ungeuliza pia yupi safari zake zinamanufaa zaidi kwa Nchi yake.
JP Maghufuli alishatoa jibu la swali hili siku chache zilizopita wakati Kikwete anazindua miradi ya mabarabara na daraja la Kigamboni. Lisome vizuri swali langu. Najaribu kumuunga mkono Kipanya.
 
Kikwete na Hillary Rodham Clinton nani zaidi katika kupasua anga?

Poor you. Una mawazo mgando sana. Kwa maana hiyo JK ni foreign minister kama Clinton?? Unatakiwa kumlinganisha JK ni marais wenzake, mfano Kibaki, Zuma, Museveni, Kagame, Pierre, etc... Ndio maana mwisho wa siku mnaishia kututolea kauli za 'sijui ni kwa nini wa Tz ni maskini'...
 
Kwani katuni imependekezaje? Someni vizuri swali langu!
 
:biggrin1::biggrin1: nimeipenda hiyo katuni kwa jinsi mambo yalivo bongo ni bora tuunganishe idara ya ikulu na wizara ya mambo ya nje ili rais awe pia waziri tutasave na hela sana
 
Kikwete na Hillary Rodham Clinton nani zaidi katika kupasua anga?

Kwani Hillary Clinton ni rais wa nchi! cheo chake cha waziri wa mashauri ya nje wa Marekani kina mruhusu kusafiri nje kadri awezavyo lakini Kikwete si ni kiongozi wa nchi!
 
Poor you. Una mawazo mgando sana. Kwa maana hiyo JK ni foreign minister kama Clinton?? Unatakiwa kumlinganisha JK ni marais wenzake, mfano Kibaki, Zuma, Museveni, Kagame, Pierre, etc... Ndio maana mwisho wa siku mnaishia kututolea kauli za 'sijui ni kwa nini wa Tz ni maskini'...

hahahaha jamaa kaenda chaka..ni hamnazo au? Thnk itakuwa kaptiwa
 
Kwani Hillary Clinton ni rais wa nchi! cheo chake cha waziri wa mashauri ya nje wa Marekani kina mruhusu kusafiri nje kadri awezavyo lakini Kikwete si ni kiongozi wa nchi!
Kibonzo cha Kipanya kinapendekeza Rais wetu achukue pia wizara hiyo. Nami nikamlinganisha Kikwete na huyu mama. Inaelekea Mkapa alimbinya sana Kikwete wakati ule. Sasa anafanya kweli!
 
2495864_orig.jpg

This is not fair
 
Back
Top Bottom