hii kama si bangi itakuwa viroba,ebu mjioneee....

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
395780_142365165903847_338072031_n.jpg

jamaa amekula pozi ,anapiga picha
 
Hakuna mtu anaweza kula viroba akafanya ujinga kama huo, hiyop ni bangi tu. Kiroba mtu unakuwa mkali-mkali lakini mstaarabu
 
Huyo ana brain-concussion. Mlevi wa kawaida hawezi kufanya upopompo huo.
 
BANGI AT WORK..Si unajua yana-change upside down ya kufikiri.

Anajiona kama yupo Kwenye JAKUZ
 
Hapo bangi nibangie kasumba nisumbue, mwenzetu akili inamwambia yuko beach
 
Back
Top Bottom